Kiongozi wetu, ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

Kiongozi wetu, ACT - Wazalendo Zitto Kabwe

Hii ndio shida kubwa ya wasanii wa Tanzania, kabla script haijakaa vizuri kichwani wanaingia location, kwa mtazamo tu wa haraka unaona hawa jamaa wamekaririshwa cha kusema.
 
Mbona wanaongea hivi kama ngonjera au ndio kitu mwongozaji alitaka!
 
Zitto anapewa kile ambacho anastahili. Ni mbunge pekee ambaye rekodi ya utendaji wake haitiliwi mashaka. Uwezo wake ni zaidi ya wabunge wote wa upinzani.
 
Kuigiza ni hatua moja na ukweli ni hatua nyingine,wananchi ndio wanaojua ukweli maana kama kadi na hizo barabara hata kwetu zipo na zimekuja kwa sababu ya kodi yetu wananchi wote wa nchi hii,mambo haya yangekuwa yanatoka mfukoni ningekubali uigizaji wa namna hii zaidi ya hapo hizi ni sifa za kijinga tu ambazo kila mbunge anaweza kujivika.
 
Hata siwaelewi wanataka nini haswa...nadhani wamechelewa kujua.
 
Kuigiza ni hatua moja na ukweli ni hatua nyingine,wananchi ndio wanaojua ukweli maana kama kadi na hizo barabara hata kwetu zipo na zimekuja kwa sababu ya kodi yetu wananchi wote wa nchi hii,mambo haya yangekuwa yanatoka mfukoni ningekubali uigizaji wa namna hii zaidi ya hapo hizi ni sifa za kijinga tu ambazo kila mbunge anaweza kujivika.

Punguza husda
 
Acha nongwa....mwenzenu anaitumia mitandao ya kijamii ipasavyo.....kalagabaho

Naamini ujumbe umeupata...kukubali ama kukataa linabaki kuwa jukumu lako

Punguza husda

Upo sahihi sana....

Ni ubunifu maridhawa wa kufikisha ujumbe.......even layman can easily understand

mkuu kama ni tijihada basi we numberiwani, na wewe upo ile safari ya ujerumani, alafu mwal kaijage mmemficha wapi siku hizi, usije kuwa ndie wewe
 
mkuu kama ni tijihada basi we numberiwani, na wewe upo ile safari ya ujerumani, alafu mwal kaijage mmemficha wapi siku hizi, usije kuwa ndie wewe

Hapana....mimi ni member tu hapa JF.....sababu nimejiunga juzi tu mawazo yangu yanapuuzwa na wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom