nimelipenda bure hilo tangazo. aje lema au sugu hapa atuambia amelifanyia nini jimbo lake achilia mbali taifa zima kwa ujumla.
Last edited by a moderator:
mkuu unajidhalilisha. isikilize tena hiyo script. yaelekea hujaelewa maana ulichondika hapa ni irrelevant.Kuigiza ni hatua moja na ukweli ni hatua nyingine,wananchi ndio wanaojua ukweli maana kama kadi na hizo barabara hata kwetu zipo na zimekuja kwa sababu ya kodi yetu wananchi wote wa nchi hii,mambo haya yangekuwa yanatoka mfukoni ningekubali uigizaji wa namna hii zaidi ya hapo hizi ni sifa za kijinga tu ambazo kila mbunge anaweza kujivika.
Nimeipenda
Zitto anapewa kile ambacho anastahili. Ni mbunge pekee ambaye rekodi ya utendaji wake haitiliwi mashaka. Uwezo wake ni zaidi ya wabunge wote wa upinzani.
Hao ndio waigizaji wetu.........
Umaarufu unanunulika
Upuuzi mtupu
Hapana....mimi ni member tu hapa JF.....sababu nimejiunga juzi tu mawazo yangu yanapuuzwa na wakuu
Wewe hata kama hupendi utalazimika kupenda maana ni sawa na mtumwa ndani ya act
Kweli uwezo wake wa kusaliti chama chake na kuanzisha chama akiwa ndani ya chama
Zzk anautafuta umaarufu kwa kila hila
Ushajiunga na utumwa was zzk?
Huu sio ubunifu ila ni upuuzi uliopitilizaNi ubunifu maridhawa wa kufikisha ujumbe.......even layman can easily understand
Mpuuzi huwa hajui ubunifu..Huu sio ubunifu ila ni upuuzi uliopitiliza
Na wewe ni mtumwa wa zidumu fikra za mwenyekiti
Hadithi za kusadikika hazikuwa na ukweli wowote.....kama ungalikuwa umedharau uzi huu usingaliusoma....
It seems even ur IQ level is very low.
Fikra zangu zipo huru......sioni haja ya kulazimishiwa kufikiri kipi chema kipi kibaya
Kama Lema anavyoutafuta