Heshima Mbele,
Habari ambazo zilipamba mageti ya Nyumbani siku ya Jumapili yaliandika Habari kwamba Mhe. Mbowe aliwanunulia Baadhi ya watu raundi ya kinywaji alipokuwa Afrika Kusini na alionekana mchangamfu sana,na alionekana kutoshtushwa na habari za kifo cha Marehemu wangwe.
Nimeona ni vyema tujadili hili,Je ni kosa la Mbowe na linaweza kuwa na Madhara gani hasa kwa chama chake?Inasemekana kuna mmoja wa kiongozi wa kambi ya upinzani alishmwandikia IGP kuhsu hili na kuomba uchunguzi ufanyike.
Mzee Gembe,
Heshima yako mkuu, mzee tupe source za habari hii ama unaendeleza conspiracy theories, wewe unafikiri hii inasidia nini? ama wataka mjengea Mh Mbowe chuki kwa jamii? watanzania kunapokuwa na msiba tofauti zetu huwa tunaziweka kando sasa mkuu hapa sikuelewi....ama kweli JF kuna vioja wakati mwingine
Ushi
Ukitafuta magazeti ya jana utaipata hiyo,Nimeambiwa ni magazeti ya Mtanzania,Habari leo na majira.ngoja nicheki then nitaweka hapa
wewe una maoni gani? je ni sahihi kutoa round za kinywaji na kufurahia kifo hicho au sio sahihi?Kazi ipo magazeti hayo nimeyasoma yapo online, wakati mwingine waandishi wetu nao ni kituko kama baadhi wa wanaJF
Mimi kama Mtanzania huru kwenye nchi huru nahisi huu ni upandikaji wa chuki wenye maslahi binafsi kwa watu wachache wenye yao mambo!
kivipi mkuu?....kama alifanya hivyo kuna upandkizaji upi?Mimi kama Mtanzania huru kwenye nchi huru nahisi huu ni upandikaji wa chuki wenye maslahi binafsi kwa watu wachache wenye yao mambo!
Mimi kama Mtanzania huru kwenye nchi huru nahisi huu ni upandikaji wa chuki wenye maslahi binafsi kwa watu wachache wenye yao mambo!
wewe una maoni gani? je ni sahihi kutoa round za kinywaji na kufurahia kifo hicho au sio sahihi?
hivi majuzi tulikuwa kwenye msiba wa ndugu yetu mwingine hapa US, na wabongo walipokutana pamoja na kuwepo msibani walileta vinywaji vya bia kwa wingi tu; sikujua walikuwa wanafurahia kifo cha huyo ndugu yetu. Tena nimeona hili mara nyingi tu. Sijui nchi nyingine kama wabongo wanaleta vinywaji msibani tena hata kabla ya marehemu hajazikwa.
Kama ndiyo hivyo (kusherehekea kifo cha mtu) basi ni kweli Mbowe amekosea na siyo yeye tu bali watanzania wengi wanaoleta ulabu misibani.
Hivi unafikiri ni nani alianza kupandikiza chuki,watu huwa tunasahau mapema na hii inaonesha jinsi malipo ni hapa duniani,utakumbuka wakati Mbowe alipokuwa akimpinga chacha Wangwe..aliona sawa?
kitu ambacho kimenishtua ni kwamba hili jambo limesemwa na Kiongozi wa Upinzani.sasa sijui katumwa na CCM au?

Ni kweli misiba mingi vinywaji vinaletwa.....lakini hii ya Ndugu Mbowe inasemekana alikuwa kama anashangilia hivi...cheers nyingi kwa kifupi tofauti na mfano uliotolea hapo juu....hivi majuzi tulikuwa kwenye msiba wa ndugu yetu mwingine hapa US, na wabongo walipokutana pamoja na kuwepo msibani walileta vinywaji vya bia kwa wingi tu; sikujua walikuwa wanafurahia kifo cha huyo ndugu yetu. Tena nimeona hili mara nyingi tu. Sijui nchi nyingine kama wabongo wanaleta vinywaji msibani tena hata kabla ya marehemu hajazikwa.
Kama ndiyo hivyo (kusherehekea kifo cha mtu) basi ni kweli Mbowe amekosea na siyo yeye tu bali watanzania wengi wanaoleta ulabu misibani.
Hivi unafikiri ni nani alianza kupandikiza chuki,watu huwa tunasahau mapema na hii inaonesha jinsi malipo ni hapa duniani,utakumbuka wakati Mbowe alipokuwa akimpinga chacha Wangwe..aliona sawa?
kitu ambacho kimenishtua ni kwamba hili jambo limesemwa na Kiongozi wa Upinzani.sasa sijui katumwa na CCM au?
Mzee Mwanakijiji,Mzee kumpinga mtu siyo hoja, mimi nilimpinga Wangwe tena hadharani na wala sijutii hilo kwa sababu kumpinga kwangu kulitokana na kutofautiana kwa hoja na siyo chuki. Na nilimheshimu na wakati wa mahojiano yetu kuna vitu ambavyo nilimuambia na yeye aliniambia na ninavifanyia kazi. Na nilimuambia kuhusu kitu hicho namuunga mkono. Kutofautiana na wanasiasa ni sehemu ya siasa. Kwa hiyo kumpinga mwanasiasa haina maana ni chuki. Unless unataka kusema tofauti zao ni za kibinafsi zaidi kitu ambacho kinaweza kuwa hoja.
Hivi unafikiri ni nani alianza kupandikiza chuki,watu huwa tunasahau mapema na hii inaonesha jinsi malipo ni hapa duniani,utakumbuka wakati Mbowe alipokuwa akimpinga chacha Wangwe..aliona sawa?
kitu ambacho kimenishtua ni kwamba hili jambo limesemwa na Kiongozi wa Upinzani.sasa sijui katumwa na CCM au?
Ni kweli misiba mingi vinywaji vinaletwa.....lakini hii ya Ndugu Mbowe inasemekana alikuwa kama anashangilia hivi...cheers nyingi kwa kifupi tofauti na mfano uliotolea hapo juu....