Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

Yaaani polisi na sensa sijui kuna connection gani...hahaaaa failed state
 
Habari ya asubuhi wana JF na natumai mpo tayari kuhesabiwa ili Nchi iweze kukamilisha majukumu yake mbalimbali. Kipindi chote huki cha maandalizi ya Sensa, nimekuwa nikisikia matangazo mbalimbali kupitia vyombo vya habari, kuwa makarani wa sensa watavalia sare maalum na watakuwa na vitambulisho.

Lakini hali huku Mtwara ni kinyume kwani makarani wamepewa vitambulisho tu na hawana sare yoyote ile.

Kama serikali ilipanga bajeti ya kutosha ili suala hili likamilike kiufanisi, kwa nini mambo haya madogo yanashindikana?
 
Atakaye kuja bila kitambulisho wala uniform,huyo kwangu ni feki simpi detail zangu
 
Sijawahi kuona uhusiano uliopo kati ya sensa na polisi kuwa standbye
 
Ndugu yangu Mangaline, kama umeona post nyingi za juu hapo wapumbavu wakubwa wamefurahia huyu jamaa kunyimwa alichokuwa anadai. Huyo alijitolea kuongoza wenzie kudai haki amekatwa jina, na wengine wamelipwa kupitia mgongo wake wapumbavu wengine wanalifurahia hilo, ndio uone ni aina gani ya mijitu mijinga imejaa huku uraiani, yaani hatuwezi kutoka kwa kuwa na wapuuzi kama hawa wasioelewa nini maana ya kudai stahiki zao!
You are right,we've got a long way to go!
 
Tuachane na ushabiki kwani shida iko wapi?amefanyishwa kazi akadhulumiwa hakulipwa?mimi kwa hapa sioni faida ya kulijadili hili aliyetanagaza ajira ambaye ni tume ya uchaguzi hakumpendekeza huyu amfanyie kazi yake kwake siye anayemfaa. wewe ama mimi inakuhusu nini?hatuko kwenye tume ya sensa kwa nini tusiwaachie wenyewe kuchaagua nani wafanye naye kazi kwa sababu anawafaa vipi?ni vizuri tungejadili mambo ambayo yana tija kwetu sisi na taifa.lakini kwa hili hapana halina nafasi hapa jamani
 
Serikali iache ubabe kama kweli alikuwa hajapewa haki yake asiseme?


Nawapa pole wale wote waliojitolea kuhakikisha haki inatendeka lakini badala yake wakachakachuliwa. Walimu walichakachuliwa.

Katika kudai hayo malipo ya sensa inasemekana hata huko ROCK CITY waliojaribu kunyanyua pua zilikatwa. Mtu akila nyama ya mtu hawezi kuacha.

Haya ni matokeo ya kushindwa kuwachukulia hatua wachakachuaji wa fedha za umma waliobainika, sasa hawa wa sensa nao hawaoni sababu ya kutochakachua kwani hata wakibainika kuchakachua hawatafanywa lolote, sanasana watapata promotion.
 
Back
Top Bottom