Kiongozi wa makarani wa sensa ashughulikiwa

Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele. Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika. Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko????, akalale wapi????, akafanye nini????. Hivi utaifa ni kutesana????
Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito??????? Tuache siasa, tufanye kazi.

Should a person be paid after delivery OR after promising to deliver? ni mtizamo wangu; Watanzania tumezoeshwa vibaya mishahara tunaiona kama ni haki toka Juu Mbinguni kazi yeyote lazima malipo yawepo nje ya mshahara.
 
Hahahahaaa,,,,kweli R,I,P SENSA,jamani hili zozez kwani maandalizi yake yalikuwa ni mwez huu au ni mchakato wa muda mrefu????RC WA MBEYA HEBU JIBU
 
Nimepata habari za kuaminika kutoka kwa rafiki yangu ambaye naye ni karani wa sensa hapa DSM kuwa yule kiongozi wao aliyeonekana kupitia tv mbalimbali(kijana mnene mweupe hv) akisisitiza serikali kuwalipa pesa yao yote ya semina ya siku saba jina lake limekatwa,na sasa hajapangiwa kituo na hajaripwa posho ya ukarani wa sensa.

mytake:Hawa makarani wanapaswa kutanguliza utaifa mbele na sio maslahi yao,wakumbuke walimu na madaktari n.k wote wako kazini kwa kutanguliza uzalendo

Uweke utaifa mbele huku watoto wako wakifa njaa ama kuwa na vitambi wakiwa watoto huku mzazi ukifanya kazi tena ktk mazingira magumu, isitoshe ktk nchi ambayo kila mmoja anajichukulia chake mapema, walianza wabunge kwakujilimbikizia posho zisizokatwa kodi na sasa watafuata wengine wengi mwisho wake nchi haitotawalika
 
Mpaka Sasa tarehe 25 mwezi 8 sa 11 jioni Mimi Kama karani Sina Kifaa HATA KIMOJA CHA KUHESABIA WATU.......SINA PESA HATA SHILINGI.JE KESHO NAANZAJE KAZI?????KWELI SENSA HAKUNA JIPYA
 
Umenena vyema. Mimi karani ila hali ya maandalizi ni mbaya sana. Hakuna tshirt wala kofia. Vitambulisho ndio vijibandiko vya uchochoroni. Mwitikio wa watu ni kidogo sana. Mwaka wa dhaifu na sensa dhaifu.
 
mleta mada binafsi naona una tatizo wewe mwenywe, kwamba unashangilia kajamaa ktolipwa haki ya ujira wake na tena jina lake limekatwa kwenye mazingira mbayo dhahiri ni kumkomoa kwa kudai haki yake

mimi sijaona shida au tatizo lake kudai kilicho halali yake. Tena kama vp aende mahakamani wakajuane huko huko na kuhoji kwanini jina lake limekatwa il hali alishapitishwa?

Tuaje uoga watanzania wenzangu. Tuwe ba ujasiri wa kudai haki zetu hata kama tunajua kufanya hivyo kutaathiri kipato chetu coz itasaidia kizazi kingine au wengineo wasionewe
 
Mimi ni karani hatujapewa hata kivaa kimoja cha kesho mpaka sasa. Je kuna sensa kesho. Dhaifu kweli mavuno dhaifu.
 
Umenena vyema. Mimi karani ila hali ya maandalizi ni mbaya sana. Hakuna tshirt wala kofia. Vitambulisho ndio vijibandiko vya uchochoroni. Mwitikio wa watu ni kidogo sana. Mwaka wa dhaifu na sensa dhaifu.

mi naona wameamua kufanya tu ili litimie la kwamba tunahesabu watu kila baada ya miaka kumi na kuharibu kodi zetu.

Haiwezekani vitambulisho viwe vya kisanii namna ile! Yaani picha mtu akabandikie nyumbani! Hakuna hata muhuri wa mamlaka! Hivi fikra zetu waafrica ndo zinaishia hapa,?

Kwamba kwenye jambo lolote we ni kuiba tu hata kama linasaidia kwenye mipango muhimu? Ngoja vijana wawatengenezee data za uongo tuambiwe tuko milioni 27!
 
Hapa ndipo tunapotofautiana. Kazi nyingine tunaambiwa tutangulize utaifa mbele, wakati wengine wanatakiwa watangulize maslahi mbele. Juzi wabunge wamapewa 1Milioni kila mmoja kwa ajili ya kuhamasisha sensa, wakati ambapo wabunge haohao hadi sasa tangu wamalize kikao cha bunge, wamebana huko mijini, na huku majimboni hawajafika. Hiyo milioni waliyopewa haijafanyiwa kazi, na wala haitarejeshwa. wakati huohuo, karani analazimishwa aende kituoni bila kulipwa, eti atangulize utaifa, akale nini huko????, akalale wapi????, akafanye nini????. Hivi utaifa ni kutesana????
Tunaambiwa eti Ualimu ni kazi ya wito, Udaktari ni kazi ya wito, je! ubunge si kazi ya wito??????? Tuache siasa, tufanye kazi.

Nakubaliana nawe katika hili. tatizo mara nyingi ni kutofanya mambo kwa umakini. Taarifa sahihi ni jambo la msingi sana.

Unapomwambia mtu kuwa utaratibu wa malipo upo namna fulani na lazima uheshimu, kama kuna tatizo ni bora utumie utaratibu muafaka kumwarifu ili ajue kuhusu mabadiliko badala ya kutumia ubabe.
 
Nakubaliana nawe katika hili. tatizo mara nyingi ni kutofanya mambo kwa umakini. Taarifa sahihi ni jambo la msingi sana. Unapomwambia mtu kuwa utaratibu wa malipo upo namna fulani na lazima uheshimu, kama kuna tatizo ni bora utumie utaratibu muafaka kumwarifu ili ajue kuhusu mabadiliko badala ya kutumia ubabe.

Hapa ndipo utajua kuna mapoyoyo kwenye nafaci za uongozi mkuu.. Kwanini waciwaeleze ukweli mapema kama malipo yatakuwa after delivery ili atakaekubali ajue kabisa mfumo wa malipo uko hivyo..?

Wanatengeneza matatizo wenyewe na tatizo kubwa ni uchakachuliwaji wa pesa ya sensa kuanzia ngazi za juu mpaka chini..

Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
mi naona wameamua kufanya tu ili litimie la kwamba tunahesabu watu kila baada ya miaka kumi na kuharibu kodi zetu. Haiwezekani vitambulisho viwe vya kisanii namna ile! Yaani picha mtu akabandikie nyumbani! Hakuna hata muhuri wa mamlaka! Hivi fikra zetu waafrica ndo zinaishia hapa,? Kwamba kwenye jambo lolote we ni kuiba tu hata kama linasaidia kwenye mipango muhimu? Ngoja vijana wawatengenezee data za uongo tuambiwe tuko milioni 27!

mbona hao wengi, mlion 10
 
huo sio utatuzi wa tatizo hata hao waliobakizwa kama hawajilipwa fedha zao na kama watalipwa fedha ambazo sio stahili wataandika takwimu chini ya miti kwa hiyo tusitegee kupata takwimu sahihi, Pia serikali imeshindwa kutoa vifaa stahili walivyohaidiwa kwa wahesabuji mfano hadi leo hii hawajatoa mifuko au mabegi kwa ajili ya kubebea vifaa naona fedha za manunuzi hayo zimetafunwa.
 
Unajua wakati mwingine unaweza ukatilia shaka kama kweli kunadhamira ya dhati ya kupata takwimu sahihi za raia wa Tanzania kupitia shughuli ya sensa. Wasiwasi huu unatokana na kasoro nyingi zilizopo kuanzia kwa makarani mpaka kwa raia watakao hesabiwa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom