Mbona hata CHADEMA kule kwa wachagga ndivyo kinavyojinasibu au mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Sijawahi kusikia kuwa ni chama cha wachaga, kwa kumsikia kiongozi wa chadema
Mbona hata CHADEMA kule kwa wachagga ndivyo kinavyojinasibu au mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
ZZK alisema haya kwenye mkutano aliofanya katika kata ya Ngoruka
Alisema "tukaenda Msoma, tukaenda Maswa mikoa 11 siku 12 Mfululuzo chama kikapokelewa vinzuri sana...."
Aliendelea kwa kusema
"... Kwa hiyo kote huko tulikopita, sasa mikoa 13 ya kutambulisha uongozi wa chama, wamekubali chama, Leo tuko kwa wenye chama, tulisema tukianza kwa wenye chama wataendeleeza zile propaganda hicho chama cha waha cha watu wa kigoma, tukasema tunakwenda kuanza kwa Wangoni.Tukaenda mpaka kwa wakurwa, wasukuma kwa haya leo tumerudi huku, KWA WENYE CHAMA na nyie hamjatuangusha kuanzia Kakongo, tumesimamishwa leo zaidi ya mara sita................................
Hakuishia hapo akaendelea kwa kusema
"........ Lakini nataka niwaambie Kigoma, na muwaambie ndugu zenu ambao wapo nje ya Kigoma hawapo kwenye mkutano huu Wala msiogope kuambiwa hiki ni chama chenu, tembeeni kifua mbele mkisema hiki ni chama chenu, hakuna ubaya wowote hiki kuwa ni chama chenu, hakuna ubaya wowote nyie kuwa na chama.....
HAFAI KUIGWA KATIKA JAMII
hizo ni kanda zake. Act ccm ni chama cha kikanda na kidini na ukabila. Chama cha waha. Hii dhambi itawatafuna mana mlianza kuwasingizia chadema sasa inawatafuna wenyewe. Mabango hapo yanasema eti zito ndie rais wa kigoma. Ukabila mtupu. Tangu lini mliwahi kusikia au kuona kitu kama hicho kwa arusha au kilimanjaro au tanga??? Ukabila huu unaonekana kigoma na mbeya. Hii nchi tunailewa. Huo uzalendo wa nchi unatoka wapi kama zito ndi rais wa kigoma!!??? Azimio la tabora ndo manake kuwa zito ndo rais wa kigoma!??? Msitufanye kuwa watz wote sie kuwa ni wajinga. Hakuna mtu mbaya ktk nchi hii kama zito ajifanyae mzalendo huku wafuasi wake wanaonesha dunia waz kuwa ni wabinafsi wakionesha zito ni rais wa kigoma wa waha...shame upon u zzk!!
Kwahio tufanyeje sasa
Mbona hata CHADEMA kule kwa wachagga ndivyo kinavyojinasibu au mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Siku zote ukiona mlevi kaishiwa maneno Jua kalala au kazidiwa na pombe, sasa Zitto Zuber Kabwe namuona kama mlevi amelewa uroho tamaa na uchu wa madaraka hivyo wala simshangai kabisa
Amefunguka nini sasa hapa!?!
Ukabila na udini tuupige vita
Huyu wala hata udini haujui ila amekuwa akiteseka kuona wenzake wapo ngazi za juu nae anataka kiwa huko sasa kaona afungue chama chake ili atukuzwe mpuuz sana huyu bwana