Kiongozi wa chama cha ACT - Wazalendo Zitto Kabwe apata mapokezi makubwa Mjini Kigoma

Hakuna asiyejuma kuwa ZZK yuko chama kipya alichokiunda akiwa CHADEMA kwa kushirikiana na CCM ili kuua upinzani.

Huu ni upimbi kwa hiyo upinzani ni chadema pekee..? #Chadema walilewa misifa ya kuona wanapendwa na kumtimua na kujiridhisha kuwa utakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa... na kujidanganya kuwa atakuwa kama kaborou sasa wamepagawa kuona wanagawana wanachama....
 
Back
Top Bottom