Tulieni kimyakimya Wanakigoma tutawaonyesha umahiri wetu katika mapinduzi ya kisiasa pale tu tunapokuwa hatujaridhishwa na maamzi yanayofanywa na viongozi wa vyama vya siasa, kama Chadema walivyofanya kwa shujaa Zitto ili wampoteze kisiasa. kwanza Chadema isahau kupata jimbo kigoma
Zitto saizi yake ni Bavicha. Kiongozi yeyote wa Bavicha anaweza kupiga mkutano na kuhutubia maelfu ya watu bila kutegemea viongozi wa kitaifa.Sasa hicho kikundi chenu bila ayatullah hakuna mkutano! Afande Sele tangu atoke CHADEMA hajawahi kuhutubia mkutano wowote Morogoro,wakati ule alikuwa akiandaliwa mikutano na Bavicha akajaza watu akadhani yeye ni maarufu sana. Sasa amebaki kumfuata Zitto nyuma tu kama nzi anayefuata mav.I.
Kigoma ni nchi ya JIRANI na Rais wao ni Zitto. Chadema watakuwa POA tu bila ya Zitto na nchi ya WASALITI.
Sasa mbona Bavicha wanaendelea na mikutano na CHADEMA imeshinda mitaa,vijiji na vitongoji Morogoro bila Sele wala Zitto.Lakini Sele kazi yake ni kumfuata Zitto tu kila kina sijui huo ubunge ataupata vipi kama hafanyi siasa Morogoro.Zitto mjanja yeye anatoka na kurudi kigoma kulinda jimbo Lakini mazoba mengine kama Sele,Mchange na yule mama Mkiti wao WA chama hawafanyi siasa kwenye majimbo waliyotangaza nia wamebaki kumsindikiza Zitto bungeni.Amino nawaambia hiki kitakuwa chama cha mbunge mmoja tu,Zitto basi.ilikuwa bila sele hakuna bavicha ; morogoro
Sasa mbona Bavicha wanaendelea na mikutano na CHADEMA imeshinda mitaa,vijiji na vitongoji Morogoro bila Sele wala Zitto.Lakini Sele kazi yake ni kumfuata Zitto tu kila kina sijui huo ubunge ataupata vipi kama hafanyi siasa Morogoro.Zitto mjanja yeye anatoka na kurudi kigoma kulinda jimbo Lakini mazoba mengine kama Sele,Mchange na yule mama Mkiti wao WA chama hawafanyi siasa kwenye majimbo waliyotangaza nia wamebaki kumsindikiza Zitto bungeni.Amino nawaambia hiki kitakuwa chama cha mbunge mmoja tu,Zitto basi.
tabora
shinyanga
kagera
sumbawanga
mwanza
nako huko ni kwao
Mbona CHADEMA WAMEJIKITA ARUSHA ; KILA MKUTANO MKUBWA ARUSHA; MWAKA 2015; CHADEMA WAMEFANYA MIKUTANO 200 ARUSHA TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
zzk alisema haya kwenye mkutano aliofanya katika kata ya ngoruka
alisema "tukaenda msoma, tukaenda maswa mikoa 11 siku 12 mfululuzo chama kikapokelewa vinzuri sana...."
aliendelea kwa kusema
"... Kwa hiyo kote huko tulikopita, sasa mikoa 13 ya kutambulisha uongozi wa chama, wamekubali chama, leo tuko kwa wenye chama, tulisema tukianza kwa wenye chama wataendeleeza zile propaganda hicho chama cha waha cha watu wa kigoma, tukasema tunakwenda kuanza kwa wangoni.tukaenda mpaka kwa wakurwa, wasukuma kwa haya leo tumerudi huku, kwa wenye chama na nyie hamjatuangusha kuanzia kakongo, tumesimamishwa leo zaidi ya mara sita................................
Hakuishia hapo akaendelea kwa kusema
"........ Lakini nataka niwaambie kigoma, na muwaambie ndugu zenu ambao wapo nje ya kigoma hawapo kwenye mkutano huu wala msiogope kuambiwa hiki ni chama chenu, tembeeni kifua mbele mkisema hiki ni chama chenu, hakuna ubaya wowote hiki kuwa ni chama chenu, hakuna ubaya wowote nyie kuwa na chama..... "