Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,839
- 7,502
Chadema hali mbaya hata jana wamemkimbia kwenye mdahalo
Kijana naona anazidi kufanya vizuri kwenye siasa.
Bavicha turieni wa kumlaumu ni mbowe na slaa.
Jimbo la Kigoma mjini linashikiliwa na CCM lakini hamuitaji hapa very childish! Jana anaulizwa habari za kodi anaanza kumsifu kikwete na kumponda vibaya Mkapa, akionea hata dakika moja utamjua undani wake. Ndio maana ajenda zake alitaja udini na ukabila mungu atuepushe mbali ni hii balaaaa anataja vipau mbele udini na ukabila Duuuuuuuuuuuuuuu kumbuka waliola udini na ukabila siku zote ndi waenezaji wakuu wa udini na ukabila,.