Kioja papa kaona shetan😂,

Kioja papa kaona shetan😂,

Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
Takataka
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Huyo Papa aliugua ugonjwa unaitwa Schizophrenia.

Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.

Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others. Delusions involve firm beliefs about things that are not true.

People with schizophrenia can seem to lose touch with reality, which can make daily living very hard.

Huyo Papa Francis alikuwa na Schizophrenia.
View attachment 3717371
Kwa hiyo kule pangoni mwamedi alipata ugonjwa huo?
 
Tutahakikisha vipi kitu hakipo kwa sababu ni kweli hakipo, Au kipo ila tu umekosekana uthibitisho wa kuthibitisha kipo?

Madai si yangu.

Madai ni ya walioanza kudai "Shetani yupo" na hawana uthibitisho wa madai yao.

Mimi nakanusha madai yao kwa kupinga huyo Shetani anayedaiwa yupo.

Madai ni "Shetani yupo"

Madai haya ni ya uongo, kwa sababu hayana uthibitisho.

Na Shetani huyo anayedaiwa yupo, hayupo.
Kama huna hoja basi hakuna hoja ya kujadili.

Hoja yangu kwako ni huwezi kuthibitisha kuwa hakuna anaedaiwa yupo kwa udhaifu wa hoja za wanaosema yupo.
 
Kama huna hoja basi hakuna hoja ya kujadili.

Hoja yangu kwako ni huwezi kuthibitisha kuwa hakuna anaedaiwa yupo kwa udhaifu wa hoja za wanaosema yupo.
Na huwezi kudai kitu kipo wakati huna uthibitisho.

Huo ni uongo.

Na hicho unachokidai kipo, hakipo.
 
Na huwezi kudai kitu kipo wakati huna uthibitisho.

Huo ni uongo.

Na hicho unachokidai kipo, hakipo.

Sentensi Hakuna uthibitisho kuwa raisi yupo ikulu ni tofauti na sentensi raisi hayupo ikulu kwa sababu anayesema yupo hajathibitisha. Ukielewa hapa kazi si ngumu.
 
Sentensi Hakuna uthibitisho kuwa raisi yupo ikulu ni tofauti na sentensi raisi hayupo ikulu kwa sababu anayesema yupo hajathibitisha. Ukielewa hapa kazi si ngumu.
Mimi wala sijaongelea habari za Raisi.

Naongelea habari za Shetani.
 
Mimi wala sijaongelea habari za Raisi.

Naongelea habari za Shetani.
Mimi siongelei habari za shetani tu, naongelea habari za uwepo, kutokuwepo na kuthibitisha.

Anayesema uwepo upo anatakiwa athibitishe.

Anayesema uwepo haupo anatakiwa athibitishe. Sio arukie rukie udhaifu wa hoja za anayesema uwepo upo.

Anayesema hakuna uthibitisho kuwa uwepo upo huyu ndo yupo sahihi.

Kutokuamini ni imani sawa na kuamini.
 
Kisicho kuwepo hakithibishiki.

Kilichopo ndio kinathibitishika.

Ukianza kudai kitu kipo toa uthibitisho.

Unless otherwise hakipo.
 
Back
Top Bottom