Kwani wewe ushawahi Muona Hitler ? au Ushawahi muona Idd Amin wa Uganda.. Au unaamini Hadithi ?Hahah na ww n kichaa wa dini,ww ulimuona Yesu lin? Papa n mfuas ya Yesu Tena ,😂😂😂😂😂kwanza tuanzie who is Jesus na ushamuona huyo Jesus au unaamin kwenye Hadith😂😂😂😂
Kama Hujawahi waona Hao Na Unaamini ulichoambiwa kuhusu wao..Nikikuambia Kuhusu Yesu Utaamini sasa?
Yes papa ni Mfuasi wa Yesu kwani Unaona Anahubiri nini..