Kioja papa kaona shetan😂,

Kioja papa kaona shetan😂,

Mimi nimeshakwambia, Shetani hayupo.

Kama uzi unavyosema.
Kama uthibitisho wa madai yako ya hakuna shetani unategemea anayesema yupo kushindwa kuthibitisha, Je anayesema kuna shetani akisema wewe hupendelei kuvaa magauni halafu akashindwa kuthibitisha? Utaaply same theory?

Utasema huwa unapendelea magauni sababu anayesema hupendelei kashindwa kuthibitisha?
 
Kama uthibitisho wa madai yako ya hakuna shetani unategemea anayesema yupo kushindwa kuthibitisha, Je anayesema kuna shetani akisema wewe hupendelei kuvaa magauni halafu akashindwa kuthibitisha? Utaaply same theory?
Madai si yangu.

Ni yao.

Wao ndio wameshindwa kuthibitisha madai yao ya kwamba Shetani yupo.

Hivyo hayupo.
 
Madai si yangu.

Ni yao.

Wao ndio wameshindwa kuthibitisha madai yao ya kwamba Shetani yupo.

Hivyo hayupo.
Unakataa kuwa hujasema hakuna shetani?
Nakuuliza tena, Hoja yako ni Hakuna Shetani au hoja yako ni hakuna uthibitisho kuwa shetani yupo?
 
Tumia same theory kwenye maneno haya ambayo hayana ushahidi na hayana uthibitisho.

"wewe hupendelei kuvaa magauni."
Magauni yapo na yanathibitishika yapo.

Shetani hayupo na hathibitishiki yupo.

Suala la mimi kuvaa magauni ni out of topic.
 
Magauni yapo na yanathibitishika yapo.

Shetani hayupo na hathibitishiki yupo.
Acha siasa, Hoja si uwepo wa magauni.

Hoja ni wewe kutopendelea kuvaa magauni ila Hakuna ushahidi wala uthibitisho wa hiyo hoja.

Pinga hoja kwa theory ile ile ya uwepo usiothibitika hata usipomtumia shetani.
 
Wewe ndio unaleta siasa.

Mada inahusu Shetani, wewe unaleta habari za magauni.
 
Mada ni Shetani na nimeshakwambia hayupo.
 
Wewe ndio unaleta siasa.

Mada inahusu Shetani, wewe unaleta habari za magauni.
 
Mada ni Shetani na nimeshakwambia hayupo.
Hoja yangu kwako haijajikita kwa shetani, imejikita kwenye theory yako kuwa anayesema jambo lipo akishindwa kuthibitisha hilo jambo halipo.

Ndo maana nikakuuliza, unasema hakuna shetani kwa sababu wanaosema yupo wameshindwa kuthibitisha? Kama ndivyo then huwezi geuka na kujipinga kwenye same concept mtu akisema hupendelei kuvaa magauni na hana uthibitisho na ushahidi kuwa hupendelei. Itabidi umpinge sababu hana ushahidi.
 
HAKIKA PAPA NI KICHAA.BORA TUANZE HATA KUMUAMINI PAPA WA BAHARINI KULIKO PAPA MKATOLIKI.
 
Hoja yangu kwako haijajikita kwa shetani, imejikita kwenye theory yako kuwa anayesema jambo lipo akishindwa kuthibitisha hilo jambo halipo.
Utasemaje jambo lipo halafu huna uthibitisho nalo?

Jambo likiwepo au likisemwa lipo ina maana linathibitishika lipo.

Jambo haliwezi kuwepo na lisiwepo at the same time.
Ndo maana nikakuuliza, unasema hakuna shetani kwa sababu wanaosema yupo wameshindwa kuthibitisha? Kama ndivyo then huwezi pingana na same concept mtu akisema hupendelei kuvaa magauni bila uthibitisho. Itabidi umpinge sababu hana ushahidi.
 
Papa kuona shetani unashtuka..!!
Angesema ameona papuchi yenye manyoya ungesemaje?.
Acha hizo proud to be...))
 
Utasemaje jambo lipo halafu huna uthibitisho nalo?

Jambo likiwepo au likisemwa lipo ina maana linathibitishika lipo.

Jambo haliwezi kuwepo na lisiwepo at the same time.

Wewe hupendelei kuvaa magauni ila sina ushahidi wala uthibitisho. Then?
 
Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
Ni papa yupi huyo mkuu?
 
Back
Top Bottom