Hakuna kitu kinaitwa Haki wala Upendo ,hivyo vyote ni selective ila katika uhalisia havipo.
Mambo mengine ambayo hayapo ni fikra tu ,hakuna haki sawa ,hakuna huruma ,hakuna uhuru ,hakuna kufuata sheria ,hakuna ....Vyote unavyoona ni uongo hata wewe unaweza kuta hauna upendo na ndugu zako ila ukija huku unajifanya unajua neno upendo.
Wapumbavu nyie ,mnashindwa kusaidia watoto wanaolala nje ,halafu wakipata madhara kama kufa basi mnaanza kujifanya mnawajali hasa kwa hoja zenu za kisasa. Eti serikali imeua ndugu zetu ,wakati haujawahi kuwasaidia ,wewe mnafiki unajali mtu akifa tu .
Hakuna wanafiki na wajinga kama hao wanaojifanya hawana dini, kuna rasta hapa anajifanya yeye haamini katika dini ni amani na upndo..Huku kampa mtoto wa watu mimba halafu kamkataa mtoto
Mara umeanza kujichesha ni uchoko huo ,ujinga ni pale jambo haumini bado unafuatilia moaka kuweka uzi 😅😅kwa hiyo nyie ambao hamna dini mnapata kazi ya kuwashambulia wenye imani zao.
Sasa hapo we si mjinga walewalw tu wafia dini.