Kioja papa kaona shetan😂,

Kioja papa kaona shetan😂,

VEN Ken

Member
Joined
Nov 3, 2026
Posts
66
Reaction score
99
Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
 
Huyo Papa aliugua ugonjwa unaitwa Schizophrenia.

Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.

Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others. Delusions involve firm beliefs about things that are not true.

People with schizophrenia can seem to lose touch with reality, which can make daily living very hard.

Huyo Papa Francis alikuwa na Schizophrenia.
Screenshot_20261126_105712_Google.jpg
 
View attachment 3717371
Sure hyo ktu nishaipitia emb nipe mbinu ya kuepuka na hyo ilinianza niliposhindwa endelea ma A level nikabak home Kwa mda mrefu emb nielezee Hal yang and how I can overcome this situation
 
Kwenye haya maisha kila kitu ni kukubali hali uliyonayo na uhalisia wako.

Ukishakubali hali uliyonayo, utapunguza mawazo na kuanza kukabiliana na hali hiyo.

Lakini usipokubalina na uhalisia ndipo utaanza kupata mawazo mabaya na mauzauza.

Maana ubongo wako utakuwa unajaribu kukwepa uhalisia.
 
Hakuna kitu kinaitwa Haki wala Upendo ,hivyo vyote ni selective ila katika uhalisia havipo.

Mambo mengine ambayo hayapo ni fikra tu ,hakuna haki sawa ,hakuna huruma ,hakuna uhuru ,hakuna kufuata sheria ,hakuna ....Vyote unavyoona ni uongo hata wewe unaweza kuta hauna upendo na ndugu zako ila ukija huku unajifanya unajua neno upendo.

Wapumbavu nyie ,mnashindwa kusaidia watoto wanaolala nje ,halafu wakipata madhara kama kufa basi mnaanza kujifanya mnawajali hasa kwa hoja zenu za kisasa. Eti serikali imeua ndugu zetu ,wakati haujawahi kuwasaidia ,wewe mnafiki unajali mtu akifa tu .

Hakuna wanafiki na wajinga kama hao wanaojifanya hawana dini, kuna rasta hapa anajifanya yeye haamini katika dini ni amani na upndo..Huku kampa mtoto wa watu mimba halafu kamkataa mtoto
 
Hivi kwanini amuone shetani tu? Hakumuona Mungu pia?🤔

Ila ndugu zangu haya masuala mda mwingine kuyaamini ni kujitoa ufahamu kwanza, inakuja inakataa acha tu
 
Hakuna kitu kinaitwa Haki wala Upendo ,hivyo vyote ni selective ila katika uhalisia havipo.

Mambo mengine ambayo hayapo ni fikra tu ,hakuna haki sawa ,hakuna huruma ,hakuna uhuru ,hakuna kufuata sheria ,hakuna ....Vyote unavyoona ni uongo hata wewe unaweza kuta hauna upendo na ndugu zako ila ukija huku unajifanya unajua neno upendo.

Wapumbavu nyie ,mnashindwa kusaidia watoto wanaolala nje ,halafu wakipata madhara kama kufa basi mnaanza kujifanya mnawajali hasa kwa hoja zenu za kisasa. Eti serikali imeua ndugu zetu ,wakati haujawahi kuwasaidia ,wewe mnafiki unajali mtu akifa tu .

Hakuna wanafiki na wajinga kama hao wanaojifanya hawana dini, kuna rasta hapa anajifanya yeye haamini katika dini ni amani na upndo..Huku kampa mtoto wa watu mimba halafu kamkataa mtoto
Hata ww unahukumu sana je wewe😂😂😂soma elewa post acha kutoa povu
 
Kwenye haya maisha kila kitu ni kukubali hali uliyonayo na uhalisia wako.

Ukishakubali hali uliyonayo, utapunguza mawazo na kuanza kukabiliana na hali hiyo.

Lakini usipokubalina na uhalisia ndipo utaanza kupata mawazo mabaya na mauzauza.

Maana ubongo wako utakuwa unajaribu kukwepa uhalisia.
gt u mate thanks for this ,I need this to remind myself 🙏😇🌈
 
Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
Tupe chanzo cha habari
 
Hakuna kitu kinaitwa Haki wala Upendo ,hivyo vyote ni selective ila katika uhalisia havipo.

Mambo mengine ambayo hayapo ni fikra tu ,hakuna haki sawa ,hakuna huruma ,hakuna uhuru ,hakuna kufuata sheria ,hakuna ....Vyote unavyoona ni uongo hata wewe unaweza kuta hauna upendo na ndugu zako ila ukija huku unajifanya unajua neno upendo.

Wapumbavu nyie ,mnashindwa kusaidia watoto wanaolala nje ,halafu wakipata madhara kama kufa basi mnaanza kujifanya mnawajali hasa kwa hoja zenu za kisasa. Eti serikali imeua ndugu zetu ,wakati haujawahi kuwasaidia ,wewe mnafiki unajali mtu akifa tu .

Hakuna wanafiki na wajinga kama hao wanaojifanya hawana dini, kuna rasta hapa anajifanya yeye haamini katika dini ni amani na upndo..Huku kampa mtoto wa watu mimba halafu kamkataa mtoto
Hata ww unahukumu sana je wewe😂😂😂soma elewa post acha kutoa povu
Mara umeanza kujichesha ni uchoko huo ,ujinga ni pale jambo haumini bado unafuatilia moaka kuweka uzi 😅😅kwa hiyo nyie ambao hamna dini mnapata kazi ya kuwashambulia wenye imani zao.

Sasa hapo we si mjinga walewalw tu wafia dini.
 
Huyo Papa aliugua ugonjwa unaitwa Schizophrenia.

Schizophrenia is a serious mental health condition that affects how people think, feel and behave. It may result in a mix of hallucinations, delusions, and disorganized thinking and behavior.

Hallucinations involve seeing things or hearing voices that aren't observed by others. Delusions involve firm beliefs about things that are not true.

People with schizophrenia can seem to lose touch with reality, which can make daily living very hard.

Huyo Papa Francis alikuwa na Schizophrenia.
View attachment 3717371
Unahitimisha vipi kuwa jambo lisilokuwepo halipo ilihali huna uelewa na dimension za huu ulimwengu? Kuona jambo lisiloonekana na wengine si uthibitisho kuwa hilo jambo halipo, ni uthibitisho kuwa hilo jambo haliwezi kuthibitishwa.
 
Papa kaona shetan bana ,ila wanajamii forums tuongee ukwel bila ww kujal Imani na dini yako,tukubaliane Hz din kwanza zipo kulinda mafisad wazid kupiga hela kwenye mifumo lkn pia ukizama kwenye dini na iman za shirik unakuwa kichaa au na matatizo ya akil pasipo ww kujua,😂😂,matatizo yote dunian hayaletwi na shetan na Wala Mungu hyupo kukusaidia kimijuiza,Kila ktu kimewekwa na Muumbaji n jukumu letu sisi wanadam kuishi Kwa haki na upendo tufurahie maisha ya hapa dunian,kuamin dini na ushiriki vitafanya maisha yetu ya we magumu sana,tunaamin kwenye imagination na hallucinations,huku tukizid kutawaliwa na mafisadi.
Nikuulize swali: hivi mtu akisema "wewe mwizi" unakuwa mwizi? Papa alivyokuwa hai, hatukuwahi kusikia akisema "nimeona shetani". Leo kwenye ulimwengu wa disinformation, misinformation na deepfakes, tukisikua tu habari fulani kuhusu papa, hata bila ya kuthibitisha, tunatoa hitimisho. Kweli elimu yetu imetufanya tufikie level hii ya thinking and reasoning? Na huenda mtoa post ni graduate, na hata kama siyo graduate huenda ana elimu angalau ya darasa la sababu, maana mimi nilianza kujitambua nikiwa darasa la nne.
 
Back
Top Bottom