Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,985
- 32,786
Utajuaje bila ushahidi na uthibitisho?Najua tu. Sina ushahidi, siwezi thibitisha ila najua tu.
Tutahakiki vipi unajua?
Utajuaje bila ushahidi na uthibitisho?Najua tu. Sina ushahidi, siwezi thibitisha ila najua tu.
Kama sina uthibitisho does it mean kinyume chake ndo sahihi? Au does it mean hakuna uthibitisho wa my claim?Utajuaje bila ushahidi na uthibitisho?
Tutahakiki vipi unajua?
Claim yeyote inayo anzishwa lazima iwe na uthibitisho.Kama sina uthibitisho does it mean kinyume chake ndo sahihi? Au does it mean hakuna uthibitisho wa my claim?
Swali ni moja, claim isiyo na ushahidi inamaanisha kinyume chake ni sahihi? Jibu ndio au hapana.Claim yeyote inayo anzishwa lazima iwe na uthibitisho.
Sasa huwezi anzisha "claim" halafu unasema huna uthibitisho.
Kama huna uthibitisho, kwa nini ulianzisha claim hiyo?
Huoni kwamba utakuwa umeanzisha uongo tu?
Claim isiyo na ushahidi ina maanisha claim hiyo ni uongo.Swali ni moja, claim isiyo na ushahidi inamaanisha kinyume chake ni sahihi? Jibu ndio au hapana.
Ukisema ni uongo unamaanisha kuwa kinyume chake ni sahihi.Claim isiyo na ushahidi ina maanisha claim hiyo ni uongo.