white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,411
- 13,458
Hiyo hata ukila vizuri hutoboi!!kinywaji gani cha bei nafuu ambacho ukinywa chupa 3, nadhani ni za 200mls, unakufa!!Kuleni vizuri kama nyama choma,supu mzito asubuhi..ndio mnywe hiyo kitu...mtu unashindia miogo ndio waitafuta double kick..!lazima...kick!
Kwa hali ilipofikia kwa sasa ni lazima kiwanda hicho waangalie upya utengenezaji wake, na kisha wakibadirishe jina kabisa!!kwa sasa mtaani kinaogopwa sana, wamehamia kwenye smart gin.
Hicho wewe kula kiti moto kilo 2,na supu ya kongoro/mkia mzima juu, ukimaliza vi 3, baba jeni bai bai!!