screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,902
- 15,932
Mimi huwa najidunga navyo mara mojamoja bajeti ya Vant ikigomaSijui wanywaji wanavichukuliaje lakini vinamuonekano kama wa sumu unatisha.
Na kile wanaita kisungura.
Mimi huwa najidunga navyo mara mojamoja bajeti ya Vant ikigomaSijui wanywaji wanavichukuliaje lakini vinamuonekano kama wa sumu unatisha.
Na kile wanaita kisungura.
Chipo kidali MENDEHiki kinywaji ukiwa na 2,000 TZS unazima mazima. Vijana mtaani wanazoa kinywaji hiki kwa kushindana.
NB: Vijana wanapoteza utu bila kupenda
Achana nao, ile sio pombe bali ni madawa ya kulevya, kamoja tu unazimaHuo mzigo bado upo?