Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Sorry, hivi hata malta Guinness na yenyewe ni energy drink?Nina miaka 7 sinywi energy drink yoyote na hii nimeamua toka Redbul ilipotaka kunichukua uhai wangu.
Haya ma -energy drink si mazuri hata kidogo.
Hawa ndio wanaokufaga wakiwa wanagegeda..Mtoa mada utakua na Dalili za Ugonjwa wa moyo....
Pressure ya kupanda na Caffeine ni tofauti.....angalau Caffeine inawafaa watu wenye pressure ya kushuka hata kama hawajijui....
Mm nakunywa Asubuhi moja, usiku moja hasa nikiwa na game, na hakuna Shida yoyote...
Mkuu acha kufananisha pombe na hizi taka taka za kuitwa energy drink kwanza sina sukari nyingi,makemikali kibao,ila pombe kama bia ni kitu cha Hops, Co2,Wheat/Sorghum/Millet/Malta, water ,hizi zote ni nafaka plus nutrientsMimi mwenyewe nashangaaga yana nini haya mavinywaji...hayana tofauti na pombe...
dah, hauendi mbinguni mkuu! teh tehKinywaji cha wamasai hicho kila ukikutana nao mjini wameshika mo energy
Mm kila nikinywa hii kitu naharisha sana ishanitokea mara 2 na nikaapa sitawah kunywa tena eneji yoyote ileHabari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Hilo la mapigo ya moyo ndiyo lilinitokea mimi baada ya kunywa hicho kinywani.Sana na kushauri upuka hivi vinywaji ni hatari sana maana watu afya zetu zinatofautiana. na sio Mo energy vyote venye Cafeine juu ni hatari sana nilishawahi kujaribu kweli unapata energy lakini mapigo ya moyo yanaongezeka.
almost product zote za mohamed enterprise za upande wa vyakula ni batili. hii ni kwa mujibu wa rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kiwanda moja wapo cha Mo.Habari waungwana, jana nilinunua kinywaji cha MO EXTRA nikanywa.. Baada ya muda fulan nikaanza kujisikia tofauti...
Maumivu kiasi upande wa moyo kisha yakapotea...
Maumivu ya abnomial hasa upande wa kulia kupanda juu hado katikati ya kiuno na ubavu wa mwisho.... Usawa wa figo
Uvivu katika kufikiri ilhali najisikia uchangamfu kiasi....
Kuna aliyewahi kujisikia hali hii baada ya kutumia hiki kinywaji?
Wajuvi wa afya mna maoni gani juu ya kilichonisibu?.. View attachment 1145914
Kizazi cha Wabishi wanakuja kukukejeli kwa matusi kede kedehivi mnapokunywa hayo madudu mnapata nini ?
Wajinga ndiyo waliwao [emoji3]Nina hakika hata MO hatumii hiki kinywaji
Uvivu wa kufikiri, kalale barabarani basi ikiwa kufa ni lazima au kakanyage nyaya za umeme wa transformers uliokatika lkn una shoti na kaduu na Ke mwenye UKIMWI bila kondomu sababu hata usipofanya hivyo utakufa [emoji56]Ila utakufa pia.
hivi mnapokunywa hayo madudu mnapata nini ?
Ila utakufa pia.
Nani kasema haga kufa, muone akili kama bashite