Kinyumenyume, mchapio n.k

Madame B, nambo umeiangi miniti? Ua umeuhasa manone ya nukwe leku nindonoki? We c uliwaku wandape kuoange kimenyumenyu, not menu
 
Kinyumenyume?,
Unaikumbuka hii?
ME-Meza ya babu BU-Bubu hasemi MI-Mimi na wewe WE-We wembe wa kucha CHA-Chakula kitamu MU-Mungu mkubwa BWA-Bwawa la samaki KI-Kingi Majuto TO-Tone la maji JI-Jitu la kale LE-Lenye midevu VU-Vu....
Oopss..!!! Nimechoka hebu malizia menyeewe!
 
VU- vuvulaze linazwalipu
 
Wana jf kuna wa2 wanalala mika sana wa2 wakiandika maneno wameyafupisha au hayajanyooka vizuri, kuchapia, kuandika kinyumenyume nk, ukumbi wao huu hapa,

nikianza na ww poha nina ciiju, humboja? Xaxa 2onena piwa? (Madame B)

Ushabadirisha Jina?
 
Back
Top Bottom