Kinyamkera?

Mwanzo nilikuwa mbishi sana juu ya uwepo wa hivi viumbe...lakini kuna cku 2003 nilikutana nsvyo viwili...lakini vile vilikuwa vifupi sana tofauti na hiki!

Ilikuwa ni usiku wa 03:00am!

Wap ilikuwa mkuuu
 
Hahaaa mama alikua nikimkera ananiita kinyamkera duuh!!
 
Mmmh binadamu wengine tuu ukiona hyo nanihii zao unaanza kusali sala ya jioni hata kama ilikua mchana,,huyo si ntawahi mbinguni mapema??

Hahahaaa Hahahaaa Hahahaaa JF JF JF shikamoo JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…