figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Heshima kwenu wakuu,
Nimeshangaa kuona Visasi vya CCM na CUF vikiendelea Kinondoni baina ya CCM na CUF. CCM jana waalivai mkutano wa CUF na kufanya fujo ikiwemo kuharibu vyombo vya mziki na kupasua ngoza za wale vijana wanaopiga ngoma za kiruguai wanamatarumbeta. Kisa bendela yao umezibwa na gari la matangazo.
Mkutano ulikuwa unafanyika Kinondoni Kata ya Kigogo Mtaa wa Kigoogo Kati.
Wameiba nyaya za kuunganisha kwenye spika zenye urefu wa mita zaidi ya mia mbili, Wameondoka na simu ya Mpita njia kwa walichodai kwamba alikuwa anawarekodi.
Nashukuru CUF kwa kutoreact. Wamewaachia Polisi wafanye kazi yao.
Leo ntaenda Pale Polisi kuona kama kuna hatua zimechukuliwa.
Isingekuwa Busara za viongozi wa CUF, sasa tungekuwa tunaongea mengine.
Nashauri jeshi la Polisi wawe wanawahi sehemu za mikutano mapema. Jana walikuja lakini kwa kuchelewa.