Kinondoni: CCM wavamia mkutano wa CUF na kuharibu vyombo vya Muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinondoni: CCM wavamia mkutano wa CUF na kuharibu vyombo vya Muziki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by figganigga, Feb 12, 2018.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 15,432
  Likes Received: 7,660
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wakuu,

  Nimeshangaa kuona Visasi vya CCM na CUF vikiendelea Kinondoni baina ya CCM na CUF. CCM jana waalivai mkutano wa CUF na kufanya fujo ikiwemo kuharibu vyombo vya mziki na kupasua ngoza za wale vijana wanaopiga ngoma za kiruguai wanamatarumbeta. Kisa bendela yao umezibwa na gari la matangazo.
  cuf.jpg
  Mkutano ulikuwa unafanyika Kinondoni Kata ya Kigogo Mtaa wa Kigoogo Kati.

  Wameiba nyaya za kuunganisha kwenye spika zenye urefu wa mita zaidi ya mia mbili, Wameondoka na simu ya Mpita njia kwa walichodai kwamba alikuwa anawarekodi.

  Nashukuru CUF kwa kutoreact. Wamewaachia Polisi wafanye kazi yao.

  Leo ntaenda Pale Polisi kuona kama kuna hatua zimechukuliwa.

  Isingekuwa Busara za viongozi wa CUF, sasa tungekuwa tunaongea mengine.

  Nashauri jeshi la Polisi wawe wanawahi sehemu za mikutano mapema. Jana walikuja lakini kwa kuchelewa.
   
 2. L

  LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 1,301
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  duh. kweli mainterahamwe kazini...
   
 3. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2018
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,344
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 280
  Duuuh
   
 4. U

  UCD JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2018
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 3,251
  Likes Received: 2,155
  Trophy Points: 280
  Nina wasiwasi na taarifa hii.. tukio la jana linaletwa leo na hatujaliona kwenye vyombo vya habari makini
   
 5. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,177
  Likes Received: 14,385
  Trophy Points: 280
  mbona sioni picha za uvamizi?
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2018
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 14,246
  Likes Received: 3,146
  Trophy Points: 280
  CUF ya lipumba na ccm ni mtu na dada yake hakuna ugomvi hapo lao ni moja
   
 7. nsharighe

  nsharighe JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2018
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 699
  Likes Received: 568
  Trophy Points: 180
  Wangese hao, Alafi mama zao wanashindia kaniki wao wanatumika kama vijiko, Fumbafu kabida
   
 8. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2018
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 10,590
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Nani kawaokoa? Mngewaacha wanyooshane
   
 9. u

  uungwana vitendo JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2018
  Joined: Nov 20, 2013
  Messages: 1,146
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Habari za cuf zinatolewa gazeti lipi
   
 10. bandamo

  bandamo JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2018
  Joined: Aug 5, 2017
  Messages: 1,968
  Likes Received: 1,325
  Trophy Points: 280
  Nadhani siasa zetu zimefika katikati sasa tunaelekea mwisho wa amani niwakumbushe nyie wapiga debe mbunge akiingia bungeni huna unacho pata wewe anakula na familia yake hata lifti hakupi kwenye gari yake huku tutabaki na chuki milele jaribuni kufikili kuepusha vita na visasi
   
 11. Gullam

  Gullam JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2018
  Joined: Dec 1, 2013
  Messages: 3,528
  Likes Received: 1,940
  Trophy Points: 280
  Pumbu zenu, mjaa uoga kama mashoga ya Zambia!! Hao CCM wanawazidi nini? Mnashindwa kuwakata vichwa!! Siku mtakuja kuingizwa mshudede!!
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...