Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

Kumbe ana elimu kumpita yule mropokaji kibajaji duuuh kibajaji arudi shule siasa haimfai mwenzie ana diploma ya uhasibu
 
Basi hapo ndio penye tatizo mtu mwenye akili timamu hachagui sababu ni chama gani bali anachagua kwa sababu huyo mtu atapresent vipi matatizo yao huku akijenga hoja kingwendu hawezi kujenga hoja kama anaweza kupitia ucheshi wake angeweza kuprisent matatizo ya jamii lakini yeye anachekesha kwa vitu vya kipuuzi tu

Ameangalia fursa wapi anaweza kutengeneza fedha mkuu, mtu kuchekesha kwa vitu ulivyoviita vya kipuuzi haina maana kwamba na yeye ni mpuuzi, simjui Kingwendu nje ya maigizo yake ila najaribu kuelezea kwamba kuna maisha nje ya usanii maana wakati mwingine sio kama kapenda kuigiza vile kutokana na soko la filamu maana kuna wengine wakiigiza kama mabosi unakuta hawawezi mtu akaona hapa ndio penyewe, kiukweli mie huwa naon ni heri wale wanaofanya kazi ambazo zinaonekana za kipuuzi mbele ya jamii kuliko wale wanaojifanya wapo serious lakini wanaumia na hali ya kiuchumi kisa kuna kazi za kipuuzi
 
Acha bas dharau we chup
Basi hapo ndio penye tatizo mtu mwenye akili timamu hachagui sababu ni chama gani bali anachagua kwa sababu huyo mtu atapresent vipi matatizo yao huku akijenga hoja kingwendu hawezi kujenga hoja kama anaweza kupitia ucheshi wake angeweza kuprisent matatizo ya jamii lakini yeye anachekesha kwa vitu vya kipuuzi tu
 
Labda Kingwendu hafai...huu sio muda wa kushangaa au kulaumu wananchi, laumu mfumo uliosababisha haya maamizi kisha chukua hatua.

Vipi mganga wa kienyeji? Kumbuka ameshachonganisha sana kwa ramli. Hatujasikia akipinga mauaji ya watu wenye albinism wakati akiwa Bungeni. Go go Kingwendu! Tunajuhitaji Kisarawe wanataka kutudhulumu add him kijiji cha Kitanga.
 
Wabongo wanasema hata wakiweka jiwe watachagua, inawezekana kabisa watu wako desparate sana, inawezekana watu wanamaswali mengi sana kuliko majibu, inawezekana watu hawaijua kesho yao.........hii ni mbaya sana maana katika hali kama hii watu hawafikirii tena, hawaamini tena.
 
Kingwendu ongezea hii nyimbo katika kampeni zako ,just chomekea CCM ondoa ile mwanamke !itanoga kweeli kweli !:smokin:
 
Basi hapo ndio penye tatizo mtu mwenye akili timamu hachagui sababu ni chama gani bali anachagua kwa sababu huyo mtu atapresent vipi matatizo yao huku akijenga hoja kingwendu hawezi kujenga hoja kama anaweza kupitia ucheshi wake angeweza kuprisent matatizo ya jamii lakini yeye anachekesha kwa vitu vya kipuuzi tu
Dah kweli kukosa elimu kunakutesa dada, kama ungekuwa uliwahi kwenda chuo chochote kila hata cha mtaa wa saba ungesoma somo linaitwa Sociology na kuna topic mle inaelezea mambo ya ROLES. Kingwendu ni mwana jamii mwenzetu, atasikiliza hoja zetu na kuzipeleka bungeni, akibadili role na kurudi kwenye uigizaji anapiga kazi yake anapata hela. Hakuna role conflict hapo
 
Siangegombea uraisi kabisa jmn… Yaani kwa kifupi ni hivi, bora Mr Kingwendu kuliko ccm.
 
Nimegungua vijana wa ukawa wengi ama uwezo wao ni mdogo au hawakusoma shule sababu hata kuandika kiswahili kwao shida. Natabiri kura zao nyingi kuharibika sababu ya kutojua kusoma na kuandika. Magufuli oyee

Aya nyie wenye akili mmefanya nini kwa miaka 54 tangu uhuru
 
Raha sana magamba kufilia mbali kuzimu watu wote tuseme Amen
 
Huyo chizi nani amchague

Comedian ni kipaji chake na ni ajira yake halali iliyo mfikisha alipo sasa hivi. Kichwani ni mzuri with his Diploma ya uhasibu aliyopata T.I.A na amewahi kuwa mtumishi kwa muda mrefu. Mr. Bin (American Comedian and worldwide known) ni Prof yule na ametumikia vyuo vikubwa akiwa mwalimu. Uchekeshaji ni kipaji tu,it doesn't mean hana weledi na uwezo wa kuwa kiongozi.
 
Kwani Pro. Maji Marefu na Kingwendu nani zaidi? Yan kuliko kuipa kura ccm bora ulipe kura yako Jiwe kama hakuna mpinzani
 
Back
Top Bottom