Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

Kingwendu noma, ang'oa CCM Kisarawe

huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana
 
Chenge msomi aliyekubuhu katika sheria ni mbunge na kawa waziri lakini kalamba fedha hadi anafikishwa tume ya maadili...

Tanzania ni yetu sote...

Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
 
huu ushabiki unatupeleka libya ilipo sasa hivi; tusipokua makini tutakuja juta na itakua imetugharimu sana

We boya kweli unawezeje kuifananisha Libya na Tz Una akili timamu ni jinsi gani msivyo na uwezo wa kutofautisha mambo
 
Ametisha Kingwendu
Ule mdomo pindi anachangia mada,kwel hapatosh dom
 
Back
Top Bottom