Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Kama Jah People na Maji Marefu ni Wabunge kwanini isiwe kwa kingwendu mwenye Elimu ya Diploma
Ila Oprah aka Irene Uwoya hakuna shida???
Open your mind unless you want to fool it till the end! Nenda tia kaulizeAre you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Bora kingwendu kuliko vilaza na wanganga wa kienyeji waliojaa ccmBora Kingwendu kuliko Lusinde na Asumpta Mshama.
Nimegungua vijana wa ukawa wengi ama uwezo wao ni mdogo au hawakusoma shule sababu hata kuandika kiswahili kwao shida. Natabiri kura zao nyingi kuharibika sababu ya kutojua kusoma na kuandika. Magufuli oyee
Kingwendu ni Diploma holder, kwa hiyo sio wa kumdharau.
Aliamua kuwa muigizaji baada ya kuacha kazi TBL
Huduma za Afya duni kuliko wakati wowote ule, kodi haikusanywi hasa kwa matajiri,elimu imekuwa kitendawili,viwanda vimekufa na vilevilivyobinafsishwa serikali imeshindwa kusimamia,Barabara zimejengwa chini ya kiwango,wanyama kutoroshwa,mrahaba wa madini kidogo sana,kukithiri kwa rushwa,ufisadi,matumizi mabaya ya fedha za umma,ajira tatizo,makazi duni,migogoro ya ardhi na uovu mwingine, haya huyaoni? We we akili zako ziko chini ya kiwango cha kuwa binadamu kwa kukosa lishe
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Dr.unaona?