wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,051
- 2,462
Nini kupotea, kiswahili kilishakufa zamani sasa hivi umebaki mzimu wake tuKiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Nini kupotea, kiswahili kilishakufa zamani sasa hivi umebaki mzimu wake tuKiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Ila Oprah aka Irene Uwoya hakuna shida???
Basi hapo ndio penye tatizo mtu mwenye akili timamu hachagui sababu ni chama gani bali anachagua kwa sababu huyo mtu atapresent vipi matatizo yao huku akijenga hoja kingwendu hawezi kujenga hoja kama anaweza kupitia ucheshi wake angeweza kuprisent matatizo ya jamii lakini yeye anachekesha kwa vitu vya kipuuzi tuSi Kingwendu tu, muda wa mabadiliko ukiwadia hata jiwe litachaguliwa kuongoza ili mradi mabadiliko yatimie!
ana elimu kubwa mno kulinganisha na lusinde , usione anachekesha ukadhani mbumbumbu , acha dharau mkuu .Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
SAFI SANA,
kingwendu for KISARAWE!.
Viva Ukawa
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo