Kiganyi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,242 Reaction score 765 May 5, 2012 #1 By; James Gayo!
Kiganyi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2012 Posts 1,242 Reaction score 765 May 5, 2012 Thread starter #2
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 May 5, 2012 #3 Ni kawaida kabisa hii kutokea barabarani. Au kadada kaharibikiwe na gari, wanaojitolea kutengeneza au kusaidia au kusukuma ni wengi mno. Hadi inabidi kuwachagua kwa kura.
Ni kawaida kabisa hii kutokea barabarani. Au kadada kaharibikiwe na gari, wanaojitolea kutengeneza au kusaidia au kusukuma ni wengi mno. Hadi inabidi kuwachagua kwa kura.
Nish JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 730 Reaction score 114 May 5, 2012 #4 kongosho said: ni kawaida kabisa hii kutokea barabarani. Au kadada kaharibikiwe na gari, wanaojitolea kutengeneza au kusaidia au kusukuma ni wengi mno. Hadi inabidi kuwachagua kwa kura. Click to expand... mh! Lakini true
kongosho said: ni kawaida kabisa hii kutokea barabarani. Au kadada kaharibikiwe na gari, wanaojitolea kutengeneza au kusaidia au kusukuma ni wengi mno. Hadi inabidi kuwachagua kwa kura. Click to expand... mh! Lakini true
M MrBombay Member Joined May 5, 2012 Posts 68 Reaction score 33 May 5, 2012 #5 aise huyu jamaa namkubali!
Y Yakuonea JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 601 Reaction score 278 May 5, 2012 #6 Duu hii inaonyesha jinsi gani ambavyo mama / Dada zetu walivyo na "nguvu", yaani jamaa kasahau kabisa kama gari yake imegongwa anawaza kutongoza
Duu hii inaonyesha jinsi gani ambavyo mama / Dada zetu walivyo na "nguvu", yaani jamaa kasahau kabisa kama gari yake imegongwa anawaza kutongoza
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,231 May 7, 2012 #7 Yakuonea said: Duu hii inaonyesha jinsi gani ambavyo mama / Dada zetu walivyo na "nguvu", yaani jamaa kasahau kabisa kama gari yake imegongwa anawaza kutongoza Click to expand... Usifanye mchezo bana...
Yakuonea said: Duu hii inaonyesha jinsi gani ambavyo mama / Dada zetu walivyo na "nguvu", yaani jamaa kasahau kabisa kama gari yake imegongwa anawaza kutongoza Click to expand... Usifanye mchezo bana...
Kingcobra JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 1,000 Reaction score 310 Nov 30, 2012 #8 Inabidi avue NGOZI sasa maana NGUO zote zipo pembeni. Attachments Kingo.jpg 73 KB · Views: 450
Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Nov 30, 2012 #9 kaweka nini matakoni
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Nov 30, 2012 #10 Mandown said: kaweka nini matakoni Click to expand... Choo kigumu kama chuma....scanner imestuka
Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Nov 30, 2012 #11 Safari_ni_Safari said: Choo kigumu kama chuma....scanner imestuka Click to expand... kweli sio utani
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,719 Reaction score 13,423 Nov 30, 2012 #12 Hivi hiyo ni makitu gani ya kuvua nguo?
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,566 Nov 30, 2012 #13 mmh haya bwana cjaelewa
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,430 Nov 30, 2012 #14 Mandown said: kaweka nini matakoni Click to expand... hajatawadha, halafu alikuwa chakula chenye madini ya chuma kwa wingi, ndio maana hiyo metal detector ina detect kuwa chuma huko nyuma
Mandown said: kaweka nini matakoni Click to expand... hajatawadha, halafu alikuwa chakula chenye madini ya chuma kwa wingi, ndio maana hiyo metal detector ina detect kuwa chuma huko nyuma
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,465 Reaction score 1,235 Nov 30, 2012 #15 inawezekana kavaa hereni
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,266 Reaction score 108,257 Nov 30, 2012 #16 snochet said: inawezekana kavaa hereni Click to expand... hereni kwenye mshundundu???
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,266 Reaction score 108,257 Nov 30, 2012 #17 Bujibuji said: hajatawadha, halafu alikuwa chakula chenye madini ya chuma kwa wingi, ndio maana hiyo metal detector ina detect kuwa chuma huko nyuma Click to expand... Au alitawadha na maji ya DAWASCO, maana yale kuna wakati huwa yanatoka na vitu vyenye ncha kali na vipande vipande vya chuma.
Bujibuji said: hajatawadha, halafu alikuwa chakula chenye madini ya chuma kwa wingi, ndio maana hiyo metal detector ina detect kuwa chuma huko nyuma Click to expand... Au alitawadha na maji ya DAWASCO, maana yale kuna wakati huwa yanatoka na vitu vyenye ncha kali na vipande vipande vya chuma.
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,465 Reaction score 1,235 Nov 30, 2012 #18 watu8 said: hereni kwenye mshundundu??? Click to expand... watu wanatoga kila mahali sikuhizi.....maSONARA wanaona mengi sana sikuizi,wanakimbizana na wakunga
watu8 said: hereni kwenye mshundundu??? Click to expand... watu wanatoga kila mahali sikuhizi.....maSONARA wanaona mengi sana sikuizi,wanakimbizana na wakunga
awp JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 1,711 Reaction score 603 Nov 30, 2012 #19 snochet umenichekesha sana, kutoga hadi matakoni? sasa katoga kwenye mipira au bamia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Nov 30, 2012 #20 Huyu cartoonist ni kiboko, big up KING O