King'amuzi gani ntaangalia nba.

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Jamani wapendwa mimi ni mpenzi wa NBA. Ila sasa sijui ni wapi ntatizama game angalau nne kwa wiki. Maana tv1 wanaonesha mbili tu kwa wiki halafu wanachaguliwa na kwese ipi waionyeshe. Mimi najua humu kuna wapenzi wa nba kama mimi sasa naombeni mniambie king'amuzi gani kinafaa zaidi kuenjoy nba.
 
Unaweza kuamka alfajiri kuanzia saa 9 kutizama??
 
Back
Top Bottom