King'amuzi gani ni bora ukiacha DSTV

King'amuzi gani ni bora ukiacha DSTV

Fuata mtiririko huu wa kununua kingamuzzz

Dstv

Azam tv

Startimes

Zuku

Ting

Continental

Digteck

Nk
 
DSTV MWISHO WA MANENO SELECT 33 34 SS 12 SS9 SS4 KWA BEI YA PIPI
 
star times mie sikushauri hata kidogo maana kwa sasa vinascratch kama cd iliyokwisha hata raha hakuna,picture quality yao wala sio nzuri na pia hata programs sio nzuri saana! Pia hata program info hawana ili kuweza kujua ni kipindi gani na kinahusu nini. Ila they're the cheapest.
Upande wa dstv japokuwa bei zao zipo juu kidogo lakini they're the best na ukiangalia bundle zao zipo za kawaida kama compact na compact plus(kama ni mpenzi wa epl). Compact ni around 48 elfu hivi wakati inayoitwa the best kwa star times ni 40000 plus low picture quality!
Pia kwa dstv unaweza kuseti reminder kwa tv program zijazo hata kwa cku 3 zijazo so hapo hupitwi kitu ambacho star times hakuna! Go for dstv and am sure you wont regret it
Aaaahhh acha bwana kuna Ile ya dish mi nnaitumia ni noouuuuuuma
 
Mimi natumia star times ya dish sijawahi kujuta ni hela yako tu unanunua kifurushi unachotaka kila kitu unapata
 
Mkuu Belo, kwa mtu mwenye interest na Action Movies... unamshauri achukue king'amuzi gani? mbali na DSTV.

-Kaveli-
Tangu ving'amuzi vimeanza nimetumia DSTV sina experience sana na ving'amuzi vingine,sidhani kama kipo kizuri zaidi yake.Kwenye movies ZUKU walikuwa afadhali
 
Aaaahhh acha bwana kuna Ile ya dish mi nnaitumia ni noouuuuuuma
Hiyo post mie nimerespond ilikuwa ni kabla hata ya kuwa na ving'amuzi vya dish na mie nilichukuaga vile vya kwanzaa kombe la dunia 2010 South Africa. Cheki hata tarehe ya huu uzi kupostiwa kwanza mkuu. Ila pamoja na hayo bado hawawezi (star times) kukamata moto wa Azam Tv.
 
Mkuu Belo, kwa mtu mwenye interest na Action Movies... unamshauri achukue king'amuzi gani? mbali na DSTV.

-Kaveli-
Personally hakuna tv inayoonyesha movies za maana zaidi ya tv za ku stream mfano uwe na android box au apple tv au smart tv.
hata dstv wanaoneshaga mvie zishapitwa na wakati yani watu tulisha download na kuangalia
 
Back
Top Bottom