nipeukweli
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 656
- 348
Wasalaam wanajamvi.
Katika ving'amuzi ambavyo nimepata uzoefu navyo, vingi niliishia kuthibitisha kuwa ni "katope" mara hali ya hewa ibadilikapo hata kidogo tu.
Unakuta unatazama kitu cha maana, mara nyingine kipindi flani mubashara ila ukianza upepo flani tu au mvua kidogo tu tayaaaariiii ni kuganda ganda mascratch mashida tuuu...
Nimeshakuwa na Star times, Easy TV, Azam na DSTV. Hiyo Azam ndio katoooooope kabisa.... Mgaaaaaando. DSTV inajitahidi ila na yenyewe nimeshuhudia migando wakati wa mvua.
Ushauri jamani, kuna king'amuzi kisichopata hizi shida nikanunue?