King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

Hata mimi namshangaa jamaa anayependekeza uchomoe card wakati kingamzi kiko on!!. Nani kasema kingamzi kina option za HOT SWAPPING!! Hivi anajua kinacho sababisha picha kugandaganda? Picha/signal za dijitali ziko highly directional - lakini Wachina nadhani mwezi ujao watafungua transmitter ya Makongo ili isaidie kuondoa tatizo hilo sungu - Wachina awashindwi kitu mkuu! Hisipo kuwa nawakumbusha wawahuzie wateja vingamzi vya DVB-T2 Standard; wasilete mambo ya ujanja janja, wana misuli ya kusambaza Africa, Merikani ya kasikazini na kusini, Ulaya nk sasa kwac nini hawataki kuhuza vingamzi vyenye standard inayo kubaliki kimataifa kwa sasa hivi na kwa nini TCRA haivalii njuga swala hili mbona Uganda waliwakomalia Wachina mpaka waka-comply kwa kuangiza vingamzi vyenye standard inayokubalika hapa kwetu kuna nini lakini - TCRA wajali sana RAIA siyo kupoteza muda kwenye makongamano yasiyo na tija na kuwaogopa WACHINA.

Ndugu ahsante kwa msisitizo juu ya hofu yangu kuhusiana na tiba mbadala aliyopendekeza mleta uzi ,kwa update huku pande za zenji startime sasa hakuna mgogoro wamenibadilishia king.amuzi nafikiri ndiyo hiyo T2 sasa nang'amua bila shida!
 
Ndugu ahsante kwa msisitizo juu ya hofu yangu kuhusiana na tiba mbadala aliyopendekeza mleta uzi ,kwa update huku pande za zenji startime sasa hakuna mgogoro wamenibadilishia king.amuzi nafikiri ndiyo hiyo T2 sasa nang'amua bila shida!

Si ndio hapo mkuu, Wazenj hawana mchezo! lakini huku bara mambo bado yako vile vile - StarTimes wanaendelea kuhuza vingamzi vya T1, na hakuna anaye wakemea - TCRA hiko kimya kabisa; lakini ingekuwa ITV na washirika wake ndio wanauza vingamzi hivyo saa hizi TCRA angetoa amri ya kuwalazimisha waviondoe sokoni!
 
kama kingamuzi chako kinaonyesha local channel tu inabidi ukalipie ili upate matangazo mengine vizuri, kama unapata channel chache inabidi ulipie zaidi, mfano kuna channel za sh. 9000/- kwa mwezi, 18,000/- na elfu 36. hapo utapata channel zote zinazotolewa na star times, kama picha zinakwama kwama ujue king'amuzi chako kina shida, inabidi ukipeleke wakakigaue kwenye ofisi za star times, wakigundua ni kibovu wanakupa kingine bure kama kipo ndani ya guarantee, kama hakipo ndani ya guarantee unalipia sh.15,000/- unapewa kipya na kitakuwa kinaonyesha vizuri bila mkwamo...au unaweza kushauriwa kutumia antena ya nje.
 
Back
Top Bottom