Bedullah
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 206
- 79
Hakuna cha kugomea bali tuibananishe serikali hii ya vibaka watueleze kisa cha kutulangua kupitia chombo kinachoendeshwa kwa kodi yetu.Tugome kuzinunua mkuu...hii si inaweza kusaidia ...!?
Hili ni jambo linalohitaji mjadala wa kitaifa na hii ndiyo nafasi ya wabunge wenye Tanzania moyoni kuibana serikali.
Kumbe kuhamia dijitali ulikuwa mradi wa kuwaneemesha wezi hawa?
Kupata habari ni haki ya msingi sasa iweje watanzania walazimike kulipia hata Taarifa za habari tena kupitia chombo chao wenyewe?