kwa ukweli mi naogopa kuchomoa na kuchomeka kwa sababu huenda nikakosa hata hii migandano...! kama kuna aliyejaribu akafanikisha aje atueleze kbla wengi hatujaingia mkenge!
MUNGU na akusaidie ungundue hitilafu ya hii kauli yako. Pamoja na matatizo mbali mbali yanayoikumba nchi yetu, huwezi ukaifananisha nchi nzuri kama hii na jehanamu (nadhani hujui unachokiongea kuhusu jehanamu).]Katika nchi ambazo Mungu alizichagua kuwa za majaribio ya jehannum hapa duniani.. Tanzania ni mojawapo.. [/COLOR]Ukiweza kuishi hapa hata jehannum utaishi.. Startimes nawadai lakini cijui niende wapi kudai haki yangu.. Wamenikosesha vpindi vingi.. Sijui nikalalamike wapi..
MUNGU na akusaidie ungundue hitilafu ya hii kauli yako. Pamoja na matatizo mbali mbali yanayoikumba nchi yetu, huwezi ukaifananisha nchi nzuri kama hii na jehanamu (nadhani hujui unachokiongea kuhusu jehanamu).
Haya matatizo tutayamaliza kwa kuwaondoa (kwa nguvu ya umma - kwa amani madarakani ) wale wote walioyasababisha na kuusuka mpya mfumo mzima.
Hili linawezekanana kabisa!
nyumba 180,000/= , umeme 30,000/= , maji 60,000/= , takataka 15,000/= , bili ya maziwa ya mtoto 40,000/= usafiri 90,000/= king'amuzi 18,000/=
jumla 433,000/=
bado chakula,
hapo kwenye msosi usiseme kabisaaaa.....
mkuu fikiria zaidi jinsi ya kuchakachua ,hii elfu kumi kila mwezi ni balaa
hatushabikii hapa ila ukweli hata katiba yetu startimes wameikiuka kipengele cha uhuru wa kila mtu kupata habari ,katiba haijaelekeza tuuziwe ,imesema kila mtu ana uhuru wa kupata habari kutoka popotekweli hili ndo neno shenzi zao tumechoka.
hatushabikii hapa ila ukweli hata katiba yetu startimes wameikiuka kipengele cha uhuru wa kila mtu kupata habari ,katiba haijaelekeza tuuziwe ,imesema kila mtu ana uhuru wa kupata habari kutoka popote
hapa nilipo nina hasira mno. nimelipia ZUKU tangu juzi
hadi leo bado hawajawasha hata sielewi niwafanye nini
nikipiga customer care ni blaa blaa tu.
hakuna kampuni lenye afadhali yote ni utata mtupu.Inavyoelekea haya makampuni yote ukiondoa DSTV ni longolongo.. Maana yote yanalalamikiwa sana na hili ndilo tatizo pale viongozi wenye dhamana ya kuhakikisha wananchi tunapata vilivyo bora wanapokuwa na maslahi binafsi..
Kuhusu kuchomoa na kuchomeka chombo kingali kinawaka siyo wazo la kiufundi otherwise unaweza kuharibu chombo.
safi kabisa.Nina rafiki yangu alipata ajali hali yake ilikuwa mbaya na alifikia hali ya kutokuweza kupumua vizuri, nilishangazwa na uamuzi wa madakitari walichukuwa kifaa kimoja na kugandamiza kifuani mwake, rafiki yangu ghafula akashituka na akawa anapumua vizuri. Baadaye niliwauliza ni dawa gani waliyomwekea rafiki yangu iliyobadilisha hali ya afya yake kuimarika kwa haraka namna ile, waliniambia kile kifaa kina umeme, na kitu walichofanya ni kushitua mwili wake kwa umeme ndiyo maana afya yake iliimarika kwa kasi ya ajabu.
King'amuzi changu kilikuwa ICU nilipokumbuka utabibu aliofanyiwa rafiki yangu, niliamua kukishitua kwa shoti ya umeme na kweli kilishituka na kutoka ICU hadi sebuleni kila mtu akikifurahia hata sasa.
Nawashauri kampuni ya StarTime washitue ving'amuzi vyao kwa shoti ya umeme kabla ya kuvipeleka sokoni.
wangu nilikuwa ninunue,kngmuzi kama ndo hivo basi.niendelee na dish imetulia.