King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

Asante

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Posts
2,086
Reaction score
1,082
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.

Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-

Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.

Chomoa kadi bila kuzima, kisha ingiza card tena.

Kwa muda wa dakika tatu utaona kugandamana kunazidi na sauti za ajabu ajabu.

Baada ya dakika tano, muonekano wa vipindi utaonekana vizuri sana, sauti za watangazaji zitasikika vizuri.

Nina zaidi ya wiki moja ninafurahia vipindi vya TV bila picha kugandamana tena na sauti za kueleweka kusikika.
 
poa mwana nikifika tu naanza nayo hii
 
napata chanel kumi na tano tu,sijui nifanyeje kupata zote...kila nikiwaza kuhusu utawala huu napata hasira,hivi kwa nini wanatuuzia habari. Unanua king'amuzu tena unaanza kulipia hili swala linahitaji mjadala wa kitaifa.!
 
Hii kitu ishakuwa kizungumkuti kwangu ni afadhali nisipoilipia malipo ya mwezi inatulia, picha zinaonekana vizuri japo channel zinakuwa chache
 
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.

Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-

Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.

Chomoa kadi bila kuzima, kisha ingiza card tena.

Kwa muda wa dakika tatu utaona kugandamana kunazidi na sauti za ajabu ajabu.

Baada ya dakika tano, muonekano wa vipindi utaonekana vizuri sana, sauti za watangazaji zitasikika vizuri.

Nina zaidi ya wiki moja ninafurahia vipindi vya TV bila picha kugandamana tena na sauti za kueleweka kusikika.
Asante, natanguliza ahsante, sasa mie wa huku mchamba wima hilo ndio tatizo langu ,na signal strengh ina range 50-65,signal quality ndio usiseme 10-30++.halafu kuna warning katika card kwamba usiichomoe au kuiingiza wakati decoder ipo ON.Je unadhani hakutatokea madhara yeyote though I have nothing to loose as the 'thing' just gives me headaches.
Ahsante Asante!
 
Nilidharau hizo warning, kwa sababu nilikuwa siwezi kuona chochote hadi nilipochomoa kadi na kuingiza upya, kama bado inaleta shida jaribu kusugua kadi kwa kitambaa kisafi kabila ya kuchomeka tena, vumbi nalo linachangia picha kugandamana.
 
napata chanel kumi na tano tu,sijui nifanyeje kupata zote...kila nikiwaza kuhusu utawala huu napata hasira,hivi kwa nini wanatuuzia habari. Unanua king'amuzu tena unaanza kulipia hili swala linahitaji mjadala wa kitaifa.!
dah! salio limeniishia jana tu, inabidi nipate buku 18, loh!
 
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.

Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-

Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.

Chomoa kadi bila kuzima, kisha ingiza card tena.

Kwa muda wa dakika tatu utaona kugandamana kunazidi na sauti za ajabu ajabu.

Baada ya dakika tano, muonekano wa vipindi utaonekana vizuri sana, sauti za watangazaji zitasikika vizuri.

Nina zaidi ya wiki moja ninafurahia vipindi vya TV bila picha kugandamana tena na sauti za kueleweka kusikika.

............... Si ungejitambulisha kwamba wewen ni msemaji wa Star Time au fundi kutoka china au mdau!
 
Nilidharau hizo warning, kwa sababu nilikuwa siwezi kuona chochote hadi nilipochomoa kadi na kuingiza upya, kama bado inaleta shida jaribu kusugua kadi kwa kitambaa kisafi kabila ya kuchomeka tena, vumbi nalo linachangia picha kugandamana.
Nadhani nimekupata yaani kiukweli mi sipati chochote then I will just do it coz Iwas thinking about giving it away anyway!
 
Me nilifikiri umeleta maujanja ya kuchakachua
Yona Edson vp bhana !wenzako hiyo legit hatuuipati ww unatuletea michakachuo?wacha tujaribu hizi tiba kama za kwa mganga wa kienyeji inawezekana startime wanamaruhani.
na hii ingiza kadi chomoa kadi ikishindikana nakifukiza ubani na kivumbasi ,kina pepo hichi king'amuzi!
 
Dawa yake ni Digitech.Channels 20 free,10 kati ya hizo ni local channels.

Kuna katatizo kidogo tu.. Kwenye kiwango cha kuanzia ni kama laki na arobaini na ushee hivi.. Lakini baada ya hapo,20 channels unapata free hata usipolipia tena.Biashara inaanza March 1st.

Startimes ndio basi tena..
 
Katika nchi ambazo Mungu alizichagua kuwa za majaribio ya jehannum hapa duniani.. Tanzania ni mojawapo.. Ukiweza kuishi hapa hata jehannum utaishi.. Startimes nawadai lakini cijui niende wapi kudai haki yangu.. Wamenikosesha vpindi vingi.. Sijui nikalalamike wapi..
 
Katika nchi ambazo Mungu alizichagua kuwa za majaribio ya jehannum hapa duniani.. Tanzania ni mojawapo.. Ukiweza kuishi hapa hata jehannum utaishi.. Startimes nawadai lakini cijui niende wapi kudai haki yangu.. Wamenikosesha vpindi vingi.. Vijui nikalalamike wapi..

Pamoja na kukuonea huruma. Imenibidi nicheke tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom