King'amuzi cha IPP (Digtek) kuanza rasmi Jumatatu!

Bampami, vipi mbona kimya, vimewasili hivyo viny'amuzi?
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor antena) si kama startimes. Bei zake zitaendana na ubora wao ni full HD, MP4, Waweza kurekodi vipindi.
Kwa mwezi utalipia 6000 na vitauzwa kwa sh.140,000.
 
km unataka emmanuel tv funga dish la kawaida ujitanue
 
pls can smbdy enlighten me.
what does dishi la kawaida and some call it free to air means.
m lost...!

Ni kitu hicho hicho kimoja. Receiver ndiyo zinatofautisha FTA na zingine.
 
Mbona leo hakijaingia sokoni?
 
yaani wafanyabiashara kama akina mengi hawana hata aibu na wao kuamua kujiingiza kwenye biashara ya kuwaibia wananchi...140000 watatoa wapi...kuna watanzania wengi waliokua wapenzi wa ITV lakini hata 70000 hawajui imekaaje ndio waje kulipia 140K...acheni upuuzi...
mengi hajakuibia ndugu, ndo maana kuna king'amuzi cha TBCCM kinaitwa startimes kinauzwa 39 elfu tu, ni uamuzi wako kutumia chapati au andazi.
 
King'amuzi cha Ukweli hapa Bongo ni "Easy Tv" pekee. Kina ubora wa Matangazo pia kina local channels karibuni zote kasor DTV na CTN na CEN. Ila hadi zenji TV imo Ndani. Na kama ww ni Mpenzi wa Movie kuna MBC 1 hadi 5. BalaA tupu. Ukinunua Digitek/Continental/BtL au Startimes Umeliwa. Labda Usubirie "Go TV" King'amuzi Dada cha Dstv kwa ajili ya Local and Entateinment Channels.

Hadi Kufikia Decemba mwaka huu kaya Moja itakuwa na wastani wa Ving'amuzi sita hadi 8.

MunGu tusaidie kwani ni wW pekee unajua Mifuko yetu inavyotobolewa kwa Mlolongo wa Matumizi kama Vile Digitale ya Ving'amuzi.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Uko sahihi king'amuzi cha Easy Tv kiko powaaa sana"
 
Sasa mbona hamjaweka plan ya vifurushi vyake vikovipi au ndo mpango wa 6000 unapata kila kitu??
 
Vingamuzi imekuwa kama spedi gavana wakati ule -- biashara kwa kwenda mbele bila vigezo kuzingatiwa.

Star times mpaka uelekeze antenna kisalawe ndiyo inashika ! :becky:
 
Bongo ubabaishaji, watu wataanza biashara ya makabati ya kuwekea ving'amuzi. Kwangu kuna Receiver ya Dish la bure, GTV, DSTV, StarTimes, ZUKU, VCR ya zamani, na DVD Player.

Yale yale ya mtu kuwa nalaini 4 za simu. Vipi wakashirikiana tukawa na receiver moja na channel zote?
 
mkuu ukishajua nini maana ya hili neno "Conflict of Interest" hutashangaa hali iliyopo kwa sasa..
 
Mbona leo hakijaingia sokoni?

...Pole Mkuu, tatizo la wanaJF walio wengi sasa hivi ni kutaka kuonekana wa kwanza kuweka Breaking News. Kwa maana hiyo mtu anaweza akafikiria tu jambo kichwani mwake na akaja haka kulitundika kwa kianzia cha 'Kuna Taarifa desh desh, mwenye Taarifa kamili atuwekee hapa'!!
Ni Ajabu.
Huko ulikozitoa si ungetafuta ukamilifu wa habari hizo kisha ukatumwagia hapa jamvini?

Hii taarifa ya DigTek niliishasema mahali fulani huko nyuma. Tunaviharakishia nini kwa maneno ya mdomoni wakati mwenyewe bado anajipanga??
Si atakapokuwa tayari ataviingiza Sokoni na tutaviona? Kwa nini tunamuwahisha na Midomo yetu???

Hii taarifa aliyotundika mkuu siku ya Alhamisi kama sikosei kwamba 'Habari nilizopata jioni hii, DigTek kuanza Jumatatu!". ilipaswa wanaJF wala isitusumbue vichwa:

Hivi kwa Jinsi tunavyomfahamu Reginald Mengi, huyu huyu mfanyabiashara tunayemjua ambaye akitaka tu kuongeza Kipindi Kipya kwenye Tv ama Radio yake atakitangaa Mwezi Mzima kabla, Leo aingize jambo kuubwa kama King'amuzi chake awe hajatutangazia hata kwa Miezi mitatu Kabla????

Kama DigTek kipo basi kitakuja tu lakini hii isiwe sababu ya baadhi ya wanaJF kuwa Ma-sheikh Yahya' wa kutabiri ujio wake!!
 
Umejenga hoja ya maana.
 
Hapo kwenye red kaka ni kweli ila sasa tungengoja hadi lini wakati hawa TCRA wamemezeshwa ulimi na Dstv so wanashindwa kusema nao kuhusu kuongeza local channels? Maana wakati huo sie tunangoja hadi wafikie muafaka mambo mengi sana ya ndani yatatupita sasa that was the only way out

Mbona mnapenda sana kulaumu kila kitu hata bila kushirikisha ubongo? TCRA hawawezi kuwalazimisha Dstv waweke chanel za watu binafsi. ITV, CHANEL TEN, CAPITAL TV, STAR TV, CLOUDS TV, DTV, EATV ni chanel za watu binafsi ambazo wamezianzisha kwa lengo na matakwa yao binafsi. Ni jukumu lao wahusika wa hizo chanel kuomba kuingizwa kwenye Dstv pindi wanapoona wana haja na nia ya kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom