Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
muda si mrefu mafundi wa vingamuzi watatokea mtaani! Hii nayo itaaongeza idadi ya ajira!
wapo pale Mbagala mission ukiwa kama unaenda Mbagala kuu na bango lao kuubwa "mafundi wa ving'amuzi."
hii ndio Tanzania kila kitu dili