Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor antena) si kama startimes. Bei zake zitaendana na ubora wao ni full HD, MP4, Waweza kurekodi vipindi.
Kwa mwezi utalipia 6000 na vitauzwa kwa sh.140,000.
Alikuwa wapi siku zote hizo? TCRA hebu fungukeni, la sivyo hiyo teknlojia ya digital inaanza kuwa kero na mzigo kwa watanzania. Sasa mbona kila mtu anibuka na decorder yake kwa kisingizio cha ubora wa hali ya juu.
Tekinologia iliyo bora si ile inayofanya maisha kuwa magumu.
'WAKATI MWINGINE BURE HUWA GHALI'Mpango mzima ni ma dish ya free channel
aaaah wap'WAKATI MWINGINE BURE HUWA GHALI'
ENDELEA KUPENDA VYA BURE NDUGU ILE USIWE UNALALAMA SISI TUTAENDELEA KULIPA SH. 720 KWA SIKU NA KUFURAHIA NA FAMILIA ZETUaaaah wap
kingamuz gan??ENDELEA KUPENDA VYA BURE NDUGU ILE USIWE UNALALAMA SISI TUTAENDELEA KULIPA SH. 720 KWA SIKU NA KUFURAHIA NA FAMILIA ZETU
AZAM @ TSHS. 5,000 PWkingamuz gan??
wakati kule startimes tunalipa buku 6 mwez nzm channel zaid ya hamsiniAZAM @ TSHS. 5,000 PW
Basi huko kunakufaa wewe sana tu endelea nako. 'Beauty is in the eye of the beholder'wakati kule startimes tunalipa buku 6 mwez nzm channel zaid ya hamsini