King'amuzi cha Canal +

King'amuzi cha Canal +

Canal + IPO Dstv mbona.sema makanjanja wanachukua baadhi ya station toka Dstv,star times,azam wanafanya hao.wenyewe wanaita cable
Hapana hicho ni king'amuzi cha Kifaransa, usichanganye na chanel ya canal +
 
Ok. Hivi havizingui Mobdro?
Ukitaka Mobdro, tafuta Android TV Box
C01C91E4982D5994.png
1B9D447F645A2AB2.png
 
KINAPATIKANAJE na MALIPO yapo vipi kwa mwezi..... mawakala wapo wapi? mwaka huu ni 2023
 
Malipo kwa sasa ni 45000
Dekoda ni 150 ila inategemeana na ulipo, kama ni mikoa ya mbali zaid nauli utajilipia
Ni dekoda pekee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom