malipo ni sh ngap kwa mwezi/ mwaka?Vp wadau, nani anatumia king'amuzi cha Canal+ kwa mikoa ya Pwani kama Dar, na mengine.. Wiki iliyopita nilikua kigoma nimekuta watu wamefunga hiki king'amuzi wanatazama mechi zote kwa bei nafuu sana, ni zaidi ya Dstv
Haizid 50,000 kwa mwezimalipo ni sh ngap kwa mwezi/ mwaka?
Hapo changamoto nilizani kuna mawakala wa kueleweka, ningefunga kwanguHata dsm mbona wengi wamefunga canal+, malipo kwa mwezi ni 37000 za kibongo kama utakuwa na mwenyeji akulipie burundi lakini kwa mawakala waliopo bongo wanawapiga watu hadi 45000
www.canal.decoder.comVp wadau, nani anatumia king'amuzi cha Canal+ kwa mikoa ya Pwani kama Dar, na mengine.. Wiki iliyopita nilikua kigoma nimekuta watu wamefunga hiki king'amuzi wanatazama mechi zote kwa bei nafuu sana, ni zaidi ya Dstv
Kina leagues zipi kiongoziHata dsm mbona wengi wamefunga canal+, malipo kwa mwezi ni 37000 za kibongo kama utakuwa na mwenyeji akulipie burundi lakini kwa mawakala waliopo bongo wanawapiga watu hadi 45000
Kina leagues zipi kiongozi
Mkuu ukiacha matangazo kwa lugha ya kifaransa, vp chaneli zake ni HD?Wananiniboaga na French commentary!
Hapana siyo HDMkuu ukiacha matangazo kwa lugha ya kifaransa, vp chaneli zake ni HD?
Channels zake ni HD pia sasa hivi wana ving'amuzi vya HD.Mkuu ukiacha matangazo kwa lugha ya kifaransa, vp chaneli zake ni HD?