kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,646
- 9,623
Niko Iringa nimetafuta king'amuzi cha Azam kinapatikana kwa tsh 200,000 na kuna taarifa wameongeza bei ya vifurushi kutoka 15,000 hadi 18,000.
Sasa najiuliza kuna kitu gani special hadi ifike huko au ndo kuvimba kichwa kwa kuwa wameteka soko la Tanzania? wakati Dstv ni tsh 90,000 tuu.
Sasa najiuliza kuna kitu gani special hadi ifike huko au ndo kuvimba kichwa kwa kuwa wameteka soko la Tanzania? wakati Dstv ni tsh 90,000 tuu.