King Mswati kwa mara nyingine

King Mswati kwa mara nyingine

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
790
Jamaa anafaidi aisee.

attachment.php
 
Attachments

  • 1423397473241.jpg
    1423397473241.jpg
    57.3 KB · Views: 4,347
Mtoto NIDO imesimama vizuri, Mswati anafaid I kila mwaka anakata utepe yeye tu wengine tunazeeka hata ya SHABU hatujakutana nazo
 
Huyu mswati atakuwa anaimport contena za viagra and likes ikulu yake.
 
Mtoto NIDO imesimama vizuri, Mswati anafaid I kila mwaka anakata utepe yeye tu wengine tunazeeka hata ya SHABU hatujakutana nazo

Pole wee! Ningekuwa mwanaume mimi!! Yereuwiiiiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hana ladha! Embe rakha yake liivie mtini halafu lidondoke lenyewe usiliangue

Ukisubiri mpaka embe liive mkuu wenzako wanalila na chumvi kiongozi.

Si unajua ladha ya dodo na ladha ya embe la chumvi asee.
 
Kuweka picha ya hivyo ndo kufaidi kama ni kitu chema hebu tupia picha ya mwanao akiwa matiti yakiwa nje,utu wa mwanamke ni matiti yake lakini mwaona fahari juu ya hili,ole iko siku.

Nashangaa mod.kuacha picha kama hii,inayokwenda kinyume cha maadili.
 
Kuweka picha ya hivyo ndo kufaidi kama ni kitu chema hebu tupia picha ya mwanao akiwa matiti yakiwa nje,utu wa mwanamke ni matiti yake lakini mwaona fahari juu ya hili,ole iko siku.

Unajua linapotokea jambo unatakiwa kutazama nini kimesababisha au jambo hilo limetokea au limeanzia wapi sio kutazama jambo limefikia wapi.

Hivi kukosa kujianika maziwa nje na kupiga picha kama hiyo sisi tungeipata wapi...?.

Uthamani wa mtu wee ndio unaujua sana kuliko yeye anavyojua uthamani wake...?.

Huyo aliyewekwa hapo ni mwanao au ni wewe ndio umeanikwa hadharani au ni mamako...?.

Kila mtu ana MILA NA DESTURI yake ndio mana unaona wanakaa MANYONYO NJE hizo ni MILA zao kama unavyoona MMASAI kutembea maungo wazi au MUHINDI kutembea tumbo wazi hizo ni MILA NA DESTURI zao bhandugu.

Kwa hiyo ya MUNGU muachie MUNGU na ya KAISARI MUACHIE KAISARI.
 
Back
Top Bottom