Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
Mkuu hata mtue wetu hana picha!
mhhhhhhhhhh ! inawezekana!
Mkuu hata mtue wetu hana picha!
mhhhhhhhhhh ! inawezekana!
Donge nono? kweli polisi wameshindwa kazi au wanaona haya na wanataka kujiondolea lawama wakimkamata... Wakimpata zomba tu atawasaidia kukamatwa huyu Sheikh Ubwabwa
Walamusiwe na shaka sisi tunatoa ushirikiano wote kwa polisi, tunaamini kwenye polisi jamii na shirikishi.
kweli polisi imeishiwa mbinu
Siwashukuru polisi kwa kumtangaza huyo shetani kwamba ni kinara wa vurugu za kidini hapa nchini ila nataka kuanza kuwaelewa kwamba sasa walau wanadalili za kuamka kwa kumwagiwa maji na kupigwa nyundo kwenye magoti...Lakini wamejiuliza yafuatayo kuhusu hawa jamaa wawili?
1.SHEHE BUNGO 2.UST.ILUNGA
Amechochea vurugu ili ponda awekewe dhamana Anahimiza mapadri kuuwawa bila sababu zozote
Amechoma kanisa kwa msahafu kukojolewa Amesababisha mauaji ya viongozi wa kikristo wawili
Amesababisha hofu Dar Es Salaam Wafuasi wake wanaendelea kuwawinda wakristo mpaka sasa
Amechochea wafuasi wa ponda kuvamia kiwanja Anasababifu hofu kwa taifa zima.
Anatafutwa kwakuwa hana makazi maalumu Anaishi Mwanza mtaa wa bugarika nyumba no.157
Lengo ni kuonyesha jinsi gani polisi wasivyokuwa makini na walivo na Double standard kwa wahalifu wa aina moja.
Shehe Ilunga ni mtu anayetokea kijiji kimoja na mke wa rais hivyo wanaukaribu na yeye hutumia ukaribu huu kuamini kwamba hawezi kukamatwa maana anamaslahi na mwenyeji wa Ikulu na ndicho kinachofanyika mpaka sasa kwamba ukilinganisha makosa huyu anayetafutwa Shehe Bungo na huyu Ilunga utagundua kwamba Ilunga in zaidi ya haini kwa mahubiri yake na Kanda nyingi za uchochezi zilizosambaa karibu nchi nzima.Kama wangekuwa wapo huru Ilunga alipaswa kukamatwa mapema sana kabla ya Bungo maana hata anapoishi panafahamika,ni maarufu kuliko Bungo anapatikana kirahisi kuliko...Polisi hamtamaliza uhalifu kwa Kumwacha Huyu Gaidi ambaye ameanzisha Chuo cha Ugaidi pale Ukerewe.
siku ya Ijumaa na siku ambazo kesi ya Sheikh Ponda inapotajwa
hawajatoa picha yake?
hawajatoa mkuu
kweli polisi imeishiwa mbinu
tatizo la polisi tanzania huwa wanawajua halafu wanawaacha ili wapewe mshiko lakini wakibanwa sana na raia huwa wanawakamata shame on you policemen..
Sasa bila picha tutamjuaje huyu Sheikh???
Mkuu hata mtume wetu hana picha!
Toa mbinu zako na wewe.
Kwa mtazamo wangu,serikali inapaswa kukaa na pande mbili yaani Waislam na wakristo na kuzijadili hoja au kero za pande zote mbili kwa pamoja.
Haya matukio ya mauaji yanayotokea inaweza kuwa ni moja katika athari za kero hizo au ikawa ni sababu mojawapo kwani sababu hasa bado haijafahamika!
Suala la kutoaa kauli kuwa au mathalani ni UGAIDI kabla ya uchunguzi binafsi naona si kitu cha sawa na kinaweza endeleza sintofahamu nyingi zaidi!Ni vyeme serikali ikalitazama hili jambo kwa umakini kabisa!
Serikali imelifumbia macho hili swala hadi likatufikisha hapa tulipo,Mchungaji amechinjwa,mapadri wameuwawa na makanisa yamechomwa moto.wanaoanzisha vurugu za kidini kwa ajili ya ujira kidogo wanaopewa baadhi ya waislam wasokuwa na elimu ya kutosha eti kwa sababu wanatafuta usawa,ni usawa upi huo?serikali inapasa kutoa kichapo cha mbwa mwizi kama alivyofanya rais aliyetangulia na watu walifyata mkia(wakimbizi uchwara)
Jiulize wakristo wamewanyima haki gani,watu wamepiga book bana wewe endelea kumpeleka mtoto wako madrasa na utarajie miujiza badala ya kumpeleka mtoto shule akabukua na aondoe matongotongo hayo
Siwashukuru polisi kwa kumtangaza huyo shetani kwamba ni kinara wa vurugu za kidini hapa nchini ila nataka kuanza kuwaelewa kwamba sasa walau wanadalili za kuamka kwa kumwagiwa maji na kupigwa nyundo kwenye magoti...Lakini wamejiuliza yafuatayo kuhusu hawa jamaa wawili?
1.SHEHE BUNGO 2.UST.ILUNGA
Amechochea vurugu ili ponda awekewe dhamana Anahimiza mapadri kuuwawa bila sababu zozote
Amechoma kanisa kwa msahafu kukojolewa Amesababisha mauaji ya viongozi wa kikristo wawili
Amesababisha hofu Dar Es Salaam Wafuasi wake wanaendelea kuwawinda wakristo mpaka sasa
Amechochea wafuasi wa ponda kuvamia kiwanja Anasababifu hofu kwa taifa zima.
Anatafutwa kwakuwa hana makazi maalumu Anaishi Mwanza mtaa wa bugarika nyumba no.157
Lengo ni kuonyesha jinsi gani polisi wasivyokuwa makini na walivo na Double standard kwa wahalifu wa aina moja.
Shehe Ilunga ni mtu anayetokea kijiji kimoja na mke wa rais hivyo wanaukaribu na yeye hutumia ukaribu huu kuamini kwamba hawezi kukamatwa maana anamaslahi na mwenyeji wa Ikulu na ndicho kinachofanyika mpaka sasa kwamba ukilinganisha makosa huyu anayetafutwa Shehe Bungo na huyu Ilunga utagundua kwamba Ilunga in zaidi ya haini kwa mahubiri yake na Kanda nyingi za uchochezi zilizosambaa karibu nchi nzima.Kama wangekuwa wapo huru Ilunga alipaswa kukamatwa mapema sana kabla ya Bungo maana hata anapoishi panafahamika,ni maarufu kuliko Bungo anapatikana kirahisi kuliko...Polisi hamtamaliza uhalifu kwa Kumwacha Huyu Gaidi ambaye ameanzisha Chuo cha Ugaidi pale Ukerewe.[/QUOTE]
Chuo hiki cha Ugaidi kinafahamika kwa jina gani mkuu?