Kinara vurugu za kidini huyu hapa

Kinara vurugu za kidini huyu hapa

Status
Not open for further replies.

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
668
Reaction score
426
• Polisi watangaza bingo atakayesaidia kumpata

na Farida Ramadhani

KINARA wa vurugu za kidini zinazoibuka kila siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam, amejulikana. Kinara huyo ametajwa kuwa ni Sheikh Issa Kondo Bungo ambaye amekuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu bila mafanikio. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, zilisema kuwa Sheikh Bungo anadaiwa kuhusika na matukio kadhaa makubwa ya vurugu za kidini, zilizotokea kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam.

Duru za kipolisi zilitaja baadhi ya matukio ambayo Sheikh Bungo anadaiwa kuhusika nayo kuwa ni pamoja na tukio la kuchoma moto kanisa la TAG la Mbagala, baada ya mtoto (jina limehifadhiwa), kukojolea Qur'an. Tukio la kukojolea kitabu hicho lilitokea Oktoba 10 katika eneo la Chamazi saa 10 jioni wakati watoto hao wakiwa katika ‘kijiwe' chao cha kuchezea mpira.

Vurugu hizo zilisababisha kuvunjwa kwa vioo vya magari, madirisha ya makanisa pamoja na kuibwa kwa vifaa vya kwaya katika makanisa hayo ambayo ni ya Anglikana, Wasabato na Pentekoste. Kutokana na tukio hilo ambalo liliibua vurugu kubwa kutoka kwa baadhi ya waumini wa Kiislamu wanaojiita wenye msimamo mkali, Sheikh Bungo anatajwa kuhusika kushawishi wenzake kuchoma kanisa hilo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Jeshi la Polisi limekuwa likimsaka kwa muda mrefu, lakini halijafanikiwa kumtia mbaroni kutokana na staili yake ya kuishi kwani hana makazi maalumu. "Shekh huyo pia anahusika kushawishi wafuasi wa Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Ponda Issa Ponda kuandamana kila siku ya Ijumaa ili kushinikiza mahakama itoe dhamana kwa Ponda ambaye kwa sasa yuko rumande akikabiliwa na kesi ya uchochezi," kilisema chanzo chetu cha habari.

Kwa mujibu wa habari hizo, tangu tukio la vurugu za Mbagala lilipotokea, Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wafuasi wa sheikh huyo na wengine wako mahakamani, lakini yeye hajapatikana. Tayari Sheikh Bungo pamoja na wenzake wamefunguliwa kesi namba THA/ IR/ 7794/ 2012 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. "Mwaka huu tumeshamfungulia jalada lingine namba CHA/ RB/ 10652013 katika kituo cha polisi cha Chang'ombe, hivyo tunawaomba wananachi wanaopenda amani watoe taarifa katika kituo chochote cha polisi endapo ataonekana," alisema mtoa habari wetu.

Hadi sasa polisi imemfikisha mahakamani Shekh Ponda pamoja na wenzake 49 ambao kesi zao zinaendelea kusikilizwa huku wakiendelea kukamata wengine kila vurugu hizo zinapotokea. Vurugu hizo ambazo zimekuwa zikiwatia hofu wakazi wengi jijini Dar es Salaam na nchi nzima kwa ujumla, zimekuwa na tabia ya kuibuka kila siku ya Ijumaa na siku ambazo kesi ya Sheikh Ponda inapotajwa. Hali hiyo imekuwa ikisababisha baadhi ya shughuli za kimaendeleo katika jiji hilo kusimama kwa muda, huku polisi wakilazimika kutumia nguvu kubwa kuweka ulinzi.
 
Shekh Ilunga wanamwacha wapi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hawajatoa mkuu
Siwashukuru polisi kwa kumtangaza huyo shetani kwamba ni kinara wa vurugu za kidini hapa nchini ila nataka kuanza kuwaelewa kwamba sasa walau wanadalili za kuamka kwa kumwagiwa maji na kupigwa nyundo kwenye magoti...Lakini wamejiuliza yafuatayo kuhusu hawa jamaa wawili?
1.SHEHE BUNGO 2.UST.ILUNGA
Amechochea vurugu ili ponda awekewe dhamana Anahimiza mapadri kuuwawa bila sababu zozote
Amechoma kanisa kwa msahafu kukojolewa Amesababisha mauaji ya viongozi wa kikristo wawili
Amesababisha hofu Dar Es Salaam Wafuasi wake wanaendelea kuwawinda wakristo mpaka sasa
Amechochea wafuasi wa ponda kuvamia kiwanja Anasababifu hofu kwa taifa zima.
Anatafutwa kwakuwa hana makazi maalumu Anaishi Mwanza mtaa wa bugarika nyumba no.157

Lengo ni kuonyesha jinsi gani polisi wasivyokuwa makini na walivo na Double standard kwa wahalifu wa aina moja.
Shehe Ilunga ni mtu anayetokea kijiji kimoja na mke wa rais hivyo wanaukaribu na yeye hutumia ukaribu huu kuamini kwamba hawezi kukamatwa maana anamaslahi na mwenyeji wa Ikulu na ndicho kinachofanyika mpaka sasa kwamba ukilinganisha makosa huyu anayetafutwa Shehe Bungo na huyu Ilunga utagundua kwamba Ilunga in zaidi ya haini kwa mahubiri yake na Kanda nyingi za uchochezi zilizosambaa karibu nchi nzima.Kama wangekuwa wapo huru Ilunga alipaswa kukamatwa mapema sana kabla ya Bungo maana hata anapoishi panafahamika,ni maarufu kuliko Bungo anapatikana kirahisi kuliko...Polisi hamtamaliza uhalifu kwa Kumwacha Huyu Gaidi ambaye ameanzisha Chuo cha Ugaidi pale Ukerewe.
 
tatizo la polisi tanzania huwa wanawajua halafu wanawaacha ili wapewe mshiko lakini wakibanwa sana na raia huwa wanawakamata shame on you policemen..
 
..........ndo Jeshi letu hili. Waombe msaada kwa majasusi wa nje.
 
Shs ngapi nikiwatajia alipo?
Ni rahisí tu kulambà hiyó Bingo, ni kiasí tu chá kujitokezà kwenyé kituô chá Polisi na kuwajulishà kuwa mtuhumiwa waó Sheikh Isso Bungó unafahanú alipojifichà kwã hiyiô waulizé maafande, utakapowaonyesha huyó mtu waó waó watakupà bei ganí?!
 
nafikili wanajamvimeeanza tabia mbaya ya kuajadili watu. tanzania haina udini mimi naamini hivyo tatizo ni selikali hii kuegemea na kulipa kanisa nguvu ya dola. ukiachilia kushidwa kusimamia haki kwa wanajamii wote. waislamu wamekuwa wakitaka uwepo mjadala wa kitaifa kujadili hali hii. ungekuwa ni udini leomie nisingewza hata kupanda daladala na mkristo. tatizo ni selikali. hivi inaingia vipi akililini msafara wa shekh ponda unaoaskari zaidiya themanini kwa nini wengine waisende kuyalinda makanisa huko zenji. selikali hii imejikita katika kuwadunisha waislamu. kwanini waziri anaagizauchunguzi wakati ameshajiridhisha kwamba kumuua padri ni ugaidi ila kumuua kamanda wa polisi wa mkoa wa mwanza ulikuwa ni uhalifu. tuache kuchochea huo udini selikali ikubali kusikiliza wanachokitaka waislamu na wakristo badala ya mawaziri wanaoongea kwa hisia za chuki wakidai kuwa ni kauli ya selikari. je leo waumini wa kiislamu wakiamuua kuibua kashifa za kanisa katoliki na maaskofu wake tena tukachochea kuwa kuwa hayo ndo mafundisho ya ukatoliki. jamani yatosha sasa selikali ijifunze uadilifu.
:nimekataa
 
Zungumzieni suala na siyo majina, maana majina hata miti ina majina na yatambulika. :yo:
 
Acha porojo za kukalilishwa misikitini. Sema hayo ulonayo kuhusu ukatoliki tuone na tujadili.
nafikili wanajamvimeeanza tabia mbaya ya kuajadili watu. tanzania haina udini mimi naamini hivyo tatizo ni selikali hii kuegemea na kulipa kanisa nguvu ya dola. ukiachilia kushidwa kusimamia haki kwa wanajamii wote. waislamu wamekuwa wakitaka uwepo mjadala wa kitaifa kujadili hali hii. ungekuwa ni udini leomie nisingewza hata kupanda daladala na mkristo. tatizo ni selikali. hivi inaingia vipi akililini msafara wa shekh ponda unaoaskari zaidiya themanini kwa nini wengine waisende kuyalinda makanisa huko zenji. selikali hii imejikita katika kuwadunisha waislamu. kwanini waziri anaagizauchunguzi wakati ameshajiridhisha kwamba kumuua padri ni ugaidi ila kumuua kamanda wa polisi wa mkoa wa mwanza ulikuwa ni uhalifu. tuache kuchochea huo udini selikali ikubali kusikiliza wanachokitaka waislamu na wakristo badala ya mawaziri wanaoongea kwa hisia za chuki wakidai kuwa ni kauli ya selikari. je leo waumini wa kiislamu wakiamuua kuibua kashifa za kanisa katoliki na maaskofu wake tena tukachochea kuwa kuwa hayo ndo mafundisho ya ukatoliki. jamani yatosha sasa selikali ijifunze uadilifu.
:nimekataa
 
kakamatwa kufuatia tukio la Zanzibar au? Ndiyo juhudi zao zimefanikiwa
 
Siwashukuru polisi kwa kumtangaza huyo shetani kwamba ni kinara wa vurugu za kidini hapa nchini ila nataka kuanza kuwaelewa kwamba sasa walau wanadalili za kuamka kwa kumwagiwa maji na kupigwa nyundo kwenye magoti...Lakini wamejiuliza yafuatayo kuhusu hawa jamaa wawili?
1.SHEHE BUNGO 2.UST.ILUNGA
Amechochea vurugu ili ponda awekewe dhamana Anahimiza mapadri kuuwawa bila sababu zozote
Amechoma kanisa kwa msahafu kukojolewa Amesababisha mauaji ya viongozi wa kikristo wawili
Amesababisha hofu Dar Es Salaam Wafuasi wake wanaendelea kuwawinda wakristo mpaka sasa
Amechochea wafuasi wa ponda kuvamia kiwanja Anasababifu hofu kwa taifa zima.
Anatafutwa kwakuwa hana makazi maalumu Anaishi Mwanza mtaa wa bugarika nyumba no.157

Lengo ni kuonyesha jinsi gani polisi wasivyokuwa makini na walivo na Double standard kwa wahalifu wa aina moja.
Shehe Ilunga ni mtu anayetokea kijiji kimoja na mke wa rais hivyo wanaukaribu na yeye hutumia ukaribu huu kuamini kwamba hawezi kukamatwa maana anamaslahi na mwenyeji wa Ikulu na ndicho kinachofanyika mpaka sasa kwamba ukilinganisha makosa huyu anayetafutwa Shehe Bungo na huyu Ilunga utagundua kwamba Ilunga in zaidi ya haini kwa mahubiri yake na Kanda nyingi za uchochezi zilizosambaa karibu nchi nzima.Kama wangekuwa wapo huru Ilunga alipaswa kukamatwa mapema sana kabla ya Bungo maana hata anapoishi panafahamika,ni maarufu kuliko Bungo anapatikana kirahisi kuliko...Polisi hamtamaliza uhalifu kwa Kumwacha Huyu Gaidi ambaye ameanzisha Chuo cha Ugaidi pale Ukerewe.

.
Ooh kumbe?? Huyu sheikh Illunga ana kinga ya ikulu kwa mgongo wa mama mwenye nyumba!!
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
.
 
Kwa mtazamo wangu,serikali inapaswa kukaa na pande mbili yaani Waislam na wakristo na kuzijadili hoja au kero za pande zote mbili kwa pamoja.

Haya matukio ya mauaji yanayotokea inaweza kuwa ni moja katika athari za kero hizo au ikawa ni sababu mojawapo kwani sababu hasa bado haijafahamika!

Suala la kutoaa kauli kuwa au mathalani ni UGAIDI kabla ya uchunguzi binafsi naona si kitu cha sawa na kinaweza endeleza sintofahamu nyingi zaidi!Ni vyeme serikali ikalitazama hili jambo kwa umakini kabisa!

• Polisi watangaza bingo atakayesaidia kumpata

na Farida Ramadhani

KINARA wa vurugu za kidini zinazoibuka kila siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam, amejulikana. Kinara huyo ametajwa kuwa ni Sheikh Issa Kondo Bungo ambaye amekuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu bila mafanikio. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, zilisema kuwa Sheikh Bungo anadaiwa kuhusika na matukio kadhaa makubwa ya vurugu za kidini, zilizotokea kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam.

Duru za kipolisi zilitaja baadhi ya matukio ambayo Sheikh Bungo anadaiwa kuhusika nayo kuwa ni pamoja na tukio la kuchoma moto kanisa la TAG la Mbagala, baada ya mtoto (jina limehifadhiwa), kukojolea Qur’an. Tukio la kukojolea kitabu hicho lilitokea Oktoba 10 katika eneo la Chamazi saa 10 jioni wakati watoto hao wakiwa katika ‘kijiwe’ chao cha kuchezea mpira.

Vurugu hizo zilisababisha kuvunjwa kwa vioo vya magari, madirisha ya makanisa pamoja na kuibwa kwa vifaa vya kwaya katika makanisa hayo ambayo ni ya Anglikana, Wasabato na Pentekoste. Kutokana na tukio hilo ambalo liliibua vurugu kubwa kutoka kwa baadhi ya waumini wa Kiislamu wanaojiita wenye msimamo mkali, Sheikh Bungo anatajwa kuhusika kushawishi wenzake kuchoma kanisa hilo.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, Jeshi la Polisi limekuwa likimsaka kwa muda mrefu, lakini halijafanikiwa kumtia mbaroni kutokana na staili yake ya kuishi kwani hana makazi maalumu. “Shekh huyo pia anahusika kushawishi wafuasi wa Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kiislamu Ponda Issa Ponda kuandamana kila siku ya Ijumaa ili kushinikiza mahakama itoe dhamana kwa Ponda ambaye kwa sasa yuko rumande akikabiliwa na kesi ya uchochezi,” kilisema chanzo chetu cha habari.

Kwa mujibu wa habari hizo, tangu tukio la vurugu za Mbagala lilipotokea, Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata wafuasi wa sheikh huyo na wengine wako mahakamani, lakini yeye hajapatikana. Tayari Sheikh Bungo pamoja na wenzake wamefunguliwa kesi namba THA/ IR/ 7794/ 2012 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. “Mwaka huu tumeshamfungulia jalada lingine namba CHA/ RB/ 10652013 katika kituo cha polisi cha Chang’ombe, hivyo tunawaomba wananachi wanaopenda amani watoe taarifa katika kituo chochote cha polisi endapo ataonekana,” alisema mtoa habari wetu.

Back
Top Bottom