Kinana yuko wapi na wakuu wenzie, wamuondolee January majukumu haya

Ccm wanachojarb kufnya kwa sasa ni kumiandalia january makamba njia ya urais baada ya magufuli ndo mana kila kitu anaongea yeye kwa sasa ili kuendeleza umaarufu masikioni mwa wananchi...Humpurey pole pole atakuwa wazir mkuu wake.
 
Hongera na asante kwa kuvaa uhalisia.
Inapendeza na muhimu ulinde heshima hapo ulipo na mashambulizi ya fikra ikielekezwa huko usichukie!

Tuanza hapo.

Kwani Baraza la Mawaziri imevunjwa?
Kwani hujui Lumumba vyeo vya Serikali na Chama ni halali kutumika muda wote kwa pamoja?
Kwa nini unapata shida January kuzungumza kwani si ni sehemu ya wajumbe wa Kampeni ya Magufuli?.
Kwani Uchaguzi umeisha si mapka matokeo ya tanzawa yote na Raisi mteule akabidhiwe Cheti cha Ushindi?
 
Kuna masuala mazito na magumu ya Kitaifa. Hayapaswi kuzungumziwa na mtu wa wadhifa wa Makamba. Alifaa (kwa CCM) wakati wa kampeni zao, lakini sasa inabidi watu more authoritative and competent kuanza kuzungumzia haya.

Binafsi sijui ni kwa kiasi gani JM anazungumza kwa niaba ya uongozi wa chama au kampeni za Magufuli. Maana pia wakati mwingine amezungumza kama Naibu Waziri wa Mawasiliano...

Wanajarbu kumtengenezea njia ya ikulu baada ya magufuli ndo maana wanataka awe maarufu masikioni mwa wananchi..polepole atakiwa waziri wake mkuu
 
Back
Top Bottom