Kinana yuko wapi na wakuu wenzie, wamuondolee January majukumu haya

Sidhani kama Katibu mkuu anahitajika ktk hili. Kumbuka ukawa hawana katibu mkuu.
 
Mzee mliona sisi wajinga ,tulioamua kutumia silaha yoyote kumpiga adui. Huu uchafu hauwezi kutoka kirahisi kwa sababu kuna watu hawawezi kuishi bila kuwa viongozi! CCM NI SHIDA,WATANZANIA NI SHIDA

Asante kwa kuwakumbusha hao waganga Njaa wa CCM
 
Sidhani kama Katibu mkuu anahitajika ktk hili. Kumbuka ukawa hawana katibu mkuu.

Kweli CCM imeharibu akili za watu kwa DERA na KOFIA ndio maana jamaa wa UKAWA wamekuja na vipaumbele vi3.....1:ELIMU...2:ELIMU...3:ELIMU.....naamini ingewakomboa wengi....sasa UKAWA kuwa na KATIBU MKUU au kutokuwa nae ..kunahusiana vipi na hoja inayojadiliwa humu
 
kama kimbelembele sana na bichwa lake naona anajipigia debe apate position kubwa kwenye serikali inayokuja ila kichwani hamna kitu
 
January Makamba ni janga la kitaifa fikiria kuna wapiga kura jimboni kwake zaidi ya 20,000 walimpiga kura za uRais lakini hawakupiga kura za ubunge ?.
 
Ni kweli huyu Januari Makamba ni janga. Siajaelewa huyu bwana mdogo anaongea kama nani hasa? Je, ni kama Campaign Manager wa Magufuli, Naibu Waziri wa Mawasiliano au Mbunge mteule wa Bumbuli au msemaji wa CCM?

Wako wapi watu wazito ndani ya CCM kina Kinana, Mangula au Vuvuzela wao a.k.a Nepi Nauye? CCM inaonekana hamjitambui, hamjielewi, mmelewa madaraka na kwa kweli mnahitaji ushauri nasaha! Bila hivo hii nchi mnataka kuitumbukiza kwenye janga la kitaifa!

Tunajua upinzani upo kwaajiri ya kuikosoa serikali ila sasa vingine mnavyokosoa hata havieleweki.
 
MMM naona roho yako imetulia sasa... Binafsi naona turudi kwenye siasa za chama kimoja tu, Huu unaoendelea sasa ni unafiki

Umeona ee nakuunga mkono wasitupotezee muda kuungua juani wanapoteza ela kuandikisha watu kumbe wao walishajua juwa matokeo yao inauma sana kuwaonea waazanzibari hawaeshimu matakwa ya wananchi
 
Ni maamuzi ya wenye chama walivyojipanga wenyewe, wametanguliza kwanza silaha nyepesi makamba mambo yakianza kua mazito zitakuja silaha nzito nzito mpaka akina Mangula. Ukawa wepesi sana ndo maana tumetanguliza silaha nyepesi ingawa inawasumbua balaa
 
Back
Top Bottom