Kinana: Wasaliti CCM wako kumi

Kinana: Wasaliti CCM wako kumi

usaliti ni neno ambalo nalisikia sana kwenye kile chama cha arusha na moshi.

karibu dodoma ugogoni uone chadema inavyoshamiri na kukubalika kwa wazalendo wote!
Mta kalia kuwa ni cha moshi arusha wakati kila kona ya nchi hii 75% ya watanzania ni wanachadema !
Kama unabisha subiri 2015 jei kei atakavyo kabidhi mafaili ya magogoni na yeye akisindikizwa the hague!
 
huyu jangili ameacha zile safari zake baada ya kusalitiwa na jk kwa kuwabakisha mawaziri aliowaita eti mizigo,nasikia ana mpango wa kuyachoma moto magari yote aliyopewa jk na wajerumani kupambana na yeye(poacher)
 
Kama mimi ninavyokupuuza wewe watu wazima kuamua kupika na kuuza gongo ndiyo mchezo gani huo.

si bora wewe umempuuza mwananchi wa kawaida tu , YEYE AMEMPUUZA KINANA AMBAYE NI KATIBU MKUU WA CCM ! AIBU SANA !
 
CCM hakiongozwi kwa mihemko ya viongozi kama Chadema...

Hongera sana Kinana kwa majibu mujarabu.
 
Simiyu Yetu

Hili neno linatumiwa na viongozi dhaifu wasioruhusu changamoto...

Chadema ni chama cha Kilaghai.
Kinana wachukulie hatua za kinidhamu kama wewe kidume!
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa Bunge Bwana Sitta, amesema kura ya Siri ni Muhimu kwa maamuzi nyeti.. mfano Ibara ya 6 kuhusu muundo wa serikali.. Sasa huyu naye yupo kwenye hiyo list ya wasaliti 10 wa CCM.
 
Hata Mwl. Nyerere angekua hai nina imani angekihama chama, unajua mimi nampenda sana raisi wangu Mh. Jakaya mrisho kikwete, ila chama chake dah! ni vitu viwili tofauti
 
Bila shaka huyo mkubwa ni EL,hajui kuwa akizima jiko EL anatoboa sufuria....EL ana info za kila mmoja ambazo zitawaacha naked!
 
chama cha ukweli huweka mambo hadharani,hakina unafiki,sio ooh! wasiliti tunao,watajeni basi,tuwajue kama wenzenu CHADEMA.
 
Chama kama ccm ndiyo uzuri wake hutoa uhuru wa watu kujieleza na kuonesha tofauti zao hadhara lakini kwa yale jamaa mauza gongo yale angefukuzwa mtu hapa.
Mkuu samahani,hivi wewe ni mwanachama wa C.C.M au A.C.T. Nimetanguliza samahani nikiamini me na wewe hatuna utani. Nataka kujua tu upande wako kati ya vyama hivyo viwili.
 
Kama mimi ninavyokupuuza wewe watu wazima kuamua kupika na kuuza gongo ndiyo mchezo gani huo.


Mi naona bora gongo kuliko hizo sembe zenu, kwani zinatuharibia vijana wetu ambao tunawategemea kesho waliongoze taifa letu.
 
Wabunge wa CCM ni kama Ng'ombe, mchungaji akisema nawaswaga kuelekea kusini na wao wanakwenda bila hata kuhoji. Viongozi wa juu wakisema tunataka serikali 2 Ma ng'ombe yote yanakubali, iko siku mtaswagwa kuelekea machinjioni subiri
 
ingekuwa chadema wangefukuzwa chini ya sheria mpya ya Usaliti


CCM hawawezi kufukuza wasaliti kwa sababu hawana UBAVU HUO. Wale madiwani wa Bukoba tu waliwatoa jasho mpaka mkawapigia magoti, itawezekanaje kwa wabunge? Na je yule mzanzibari mlimfanyaje kama sio kufukuza? CCM wanaweza kufukuza Zanzibar lakini sio huku bara.
 
Back
Top Bottom