Kinana na ukombozi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mh Kinana amekuwa ni kiongozi mkombozi kwa wananchi wa Tunduru kwa kurudisha mfumo wa ununuzi wa korosho wa biashara huria kwani leo Tunduru biashara ipo juu na kila mtu anafurahi.Hongera mh Kinana.
 
SAFI SANA!
...mchezo wa karata tatu huchezwa na mikono miwili, kushoto na kulia. Mchezeshaji huzungushazungusha karata ... endelea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom