Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

Kila mtu atakufa wao kusema lowassa atakufa haimaanishi wataishi milelel
 
Ndugu, unamaana kuwa Mr. White hair ndo mhusika WA vifo hivyo (6) unavyosema? Na bado Ana list nyingine??
 
Hivi kina msigwa waliwahi kumuomba msamaha
 
Kitawakosanisha nin kama hawajarushana kwenye madili yao?

 
Kasuku hawezi toa neno jipya...hutoa aliyoyakariri tu.Tumekaririshwa neno FISADI..sasa tunakaririshwa neno UHAKIKI...HEWA... tulikaririshwa maneno UPEMBUZI....USANIFU....MCHAKATO nk..nk...next sijui tutakaririshwa yepi.
KINANA na EL hawa ni dam dam...waliandaliwa na marehemu SOKOINE pamoja na Aljabri RIP.
 
WEWE UNAMUABUDU LOWASA !?
 
Hakuna Muislam aogopae kufa, kumbuka hilo.

Ukimuona Muislam anaogopa kufa ujuwe huyo ana walakin.

Kuna mtu anaogopa haki yake? umauti ni haki ya kila binaadam.
Mh... Kweli faiza sitaki kuamini katika hilo kifo kinaogopesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…