Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

kwa hapa arusha hachaguliwi labda awabebe kina Ritz toka kisarawe

Gongo zishakuharibu sana akili, yaani wadhani bado yule Mlaghai ahitajika hapo mjini...!?
 
Last edited by a moderator:
Huyu kinena huyu yan kinena bhana.....kinena safiiiiii.....kinena anatisha

Yaonesha kakuingia vizuri sana maana hadi wapiga miyoe kiasi hiko .....!?

Hongera sana na aendelee kuwa nawe milele na milele.
 
Kinenaaaaaaaaaaaah kinataka kuwa mbunge....labda mbunge wa katerero
 
Jimbo la Arusha, Ubungo kuna watu wa kazi wanakuja kuchukua majimbo.
 
kwa ar atajisumbua kwanza atapata hasara atatumia pesa na bado hata shinda,cdm hawataki kisikia au kuchagua mafisadi.
 
CCM huwa hawakomi kuwatuma mizigo yao na kuwapigia upatu kuwa ni GIANTS..mkapa si mlimtuma Arumeru pamoja na Lowasa...?Bungeni ni mliwatuma Wassira,sijui Pinda,sijui na nani...?Kinana kwa taarifa yenu hajulikani hata na wakazi wa Arusha km ni mwenyeji wa Arusha.Zaidi ya waswahili ambao sasa wanahamishwa mjini kwa kasi..ndio wanaoishi ktk magofu yake aliyowavua wenzie mjini huku akijifanya anawasaidia.
 
Atawaambiaje wana wa Arusha kuhusu zile mashine za kufulia zilizokuwa mali ya Mt. Meru Hospital?
 
Arusha??? Nitahahama nchi akishinda huyo jangili!!
 
Labda akagombee Songea na Mpanda!!!!! A- city ni kutafuta aibu tu!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Arusha??? Nitahahama nchi akishinda huyo jangili!!

Pole sana bora ungejiandaa mapema, maana Genava ya Tanzania haiwezi Kuwa na mbunge mwizi na kuharibu amani Sasa Arusha siyo Genava ya Tanzania tena mapato yameshuka na watalii wamepungua kwa kiasi kikubwa.
 

Ha! Ha! Haaaa!!!!
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe

Mbona Kinana alishakuwa mbunge wa ARUSHA miaka mingi tu ilitopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…