Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

Mm nimesikia tetesi anataka akagombee urais somalia
 
Huyo ni msomari pure ndio maana hana huruma na tembo wetu
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe

mleteni tumchambe!kwan kinana ni nani msomali huyo?
 
kweli
... hata matokeo ya chaguzi ndogo kwenye kata 6 zikiwemo Sombetini & Darajambili [zilizokuwa za CCM] yanakubaliana na tathmini yako!

Matokeo yalikuwa:

Kata Chadema CCM
Darajambili 2,047 1,417
Kimandolu 2,761 1,163
Kaloleni 1,470 330
Elerai 2,047 1,471
Themi 674 326
Jumla 8,999 4,504

Hata Sombetini ccm ilinyukwa
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe

akili za ccm za ajabu sana....baada ya kujadili utegemezi unaoendelea kibudget kila mwaka hadi kupelekea mwaka huu karibia ya nusu ya budget ni kuomba omba still mnazungumzia wauza meno ya tembo kugombea ubunge
 
Hapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!

Ukitaka kujua huyu anayesema maneno haya niliyoya quote ametokea wapi, SOMA ID yake na sare yake utapata jibu! Ni descriptive!
 
Alshabab akagombee somalia kwao ndio atafanikiwa sio Arusha
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
 
kwa Arusha ccm wanajisumbua,Arusha watu wameshaelewa nini maana ya mageuzi na wanamjua mbaya wao kwamba ni ccm
 
Mwache aje aadhirike mwenyewe, kama anafikiri tumesahau aliyotutenda afikirie mara mbili. Mpaka arudishe machine za kuosha nguo za wagonjwa Mount Meru Hospital alizodhurumu na mambo mengineyo mengi. WanaArusha tunamkumbuka hatujasahau. Mwache aje atakiona

Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe

Kwa hiyo CCM wametudanganya kuwa watamsimamisha kama mgombea wa Urais?... Ok ...Kunamisaada ya mashine za kufulia nguo zilitakiwa zipelekwe Mt Meru Hospital ...ghafla watu wakafungua Falcon Dry Cleaner!!! Machalii wa Archuga bado wanahitaji majibu ya kina siyo ya kisiasa kama ile ya meli yenye meno ya Tembo inawahusu lakini meno haiwahusu!!! Sisi kwetu sufuria iliyopikia kitimoto ama kibudu nayo inahesabika kama najisi mpaka isafishwe kwa dua maalum!!!
 
...labda somalia, "A" town...!!?? bhahhaaaaahhaaaaa... anacheza....!!!
 
Kiruuuuuuuuuuuu labda akagombee serengete pia cjui kama tembo watamkubali na kumchagua
 
Kinana huyu ambaye hata TEMBO hawawezi kumpigia kura?! You must be kidding.
 
ila hatujuona akifanya mikutano yake ya Chama huku kabisa ., anakuja lini ?
 
Huyu kinena huyu yan kinena bhana.....kinena safiiiiii.....kinena anatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…